AahaaaUjapigwa ban tu mpaka muda huu Malafyale?
Acha bnaaaUjapigwa ban tu mpaka muda huu Malafyale?
Unprofessional [emoji23]Tatizo umekaa kikuda kweli yaan[emoji849]
🤣🤣🤣yaan hueleweki Kabisa aisee🤨
Hapana mkuu...ukishakuwa champions hakuna mbovuKuna utopolo wenzio wanasema jwaneng wabovu.
Nyie kufungwa na al ahly ni wabovu?
Kidogo umeanza kupona.ongeza dawa tukutoe kwenye kundi.Hapana mkuu...ukishakuwa champions hakuna mbovu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mbona km wee ndo unateseka jini uchwara kutoka Avic town? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo[emoji848]
Wao wanasubiri tu deni la 6-0 lilipwe, wamesubiri kwa miongo mingi lakini wapi.Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo🤔
[emoji23][emoji23]Kidogo umeanza kupona.ongeza dawa tukutoe kwenye kundi.
Inauma sanaMakolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo[emoji848]