Pol San mkuu mzigo kumb ulikua mpyaMimi nilishawai kufumaniwa na beki tatu tulikutwa ndani na boss nikawa mdogo kama pilitoni halaf dem mwenyewe alikuwa bikra cha ajab nikashindwa kuifungua ikabid kesi aipeleke kwa mama akamwambia mama kijana wako nimemkuta anafanya mapenz na msichana wangu wakaz, ikabid mama amuulize nikijana gan maana home tupo vijana wa4 sijui Yule mama akunijua vizur akashindwa kunitaja maana ndugu zangu wakiingia ndani Yule mama ana ulizwa ndo huyu yeye anasema hapana akasema yeye alivaa njeans mama kusikia kavaa njeans akajua ni Mimi maana Mimi ndo mpenz wa kuvaa jeans tokea utoton ikabid mama aniulize nimwambie aka nishauri nisijarib tena nitakuja kuuwawa ndani siku nyingne alinimbia kijijn kwao Kuna kijana alifuma niwa haka uliwa ndan ya nyumba, nashangaa ana niambia Sasa wewe chumba chenyewe huna ungekuwa na chumba si mngeenda kuishi wote.
Ni kweli, shule zinafungua soon, kuna mwenzake ameshaaga anakwenda shule - labda na yeye ataaga weekend hii; au jumanne baada ya sikukuu ya Mapinduzi.Tukaze moyo ndugu zangu, punde tu shule zitafunguliwa.
kuweza kuelewa uandishi wako
msomaji inabidi angalau awe na shahada ya Kiswahili ya Yuudizm
Hadha min fadhil rabiiAstaghfirulah
[emoji28][emoji28]kuweza kuelewa uandishi wako
msomaji inabidi angalau awe na shahada ya Kiswahili ya Yuudizm
Kwa kweli yamebaki masaa duhTukaze moyo ndugu zangu, punde tu shule zitafunguliwa.
Mkuu marind ni hazina.Hahahhhahaha
Uchunge hayo marinda yako mkuu
Mkuu unawez kut m ndo mwalim wako ...utajuajNi kweli, shule zinafungua soon, kuna mwenzake ameshaaga anakwenda shule - labda na yeye ataaga weekend hii; au jumanne baada ya sikukuu ya Mapinduzi.
Yakheee Kama wewe ni Mwalimu wangu, njoo huku Pemba Yakheeeee....