K kharuzi New Member Joined May 7, 2024 Posts 2 Reaction score 3 May 7, 2024 #1 Wakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa?
K kharuzi New Member Joined May 7, 2024 Posts 2 Reaction score 3 May 7, 2024 Thread starter #2 Wakuu naomba ushauri Kuna kijana wangu nataka kumpeleke kwenye ufundi wa pikipiki je unalipa?
albab JF-Expert Member Joined Jul 6, 2018 Posts 2,069 Reaction score 3,516 May 10, 2024 #3 Kuliko kuwa bodaboda mpeleke.... Mafundi wanaojielewa na walio committed wanafanya mengi mtaani.
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 12,901 Reaction score 14,611 May 10, 2024 #4 kharuzi said: Wakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa? Click to expand... kabisa pia auze na spea mdogo mdogo,,,na mafuta ya kidebe......hatujui mu wapi.....
kharuzi said: Wakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa? Click to expand... kabisa pia auze na spea mdogo mdogo,,,na mafuta ya kidebe......hatujui mu wapi.....
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,683 Reaction score 97,469 May 10, 2024 #5 nzalendo said: kabisa pia auze na spea mdogo mdogo,,,na mafuta ya kidebe......hatujui mu wapi..... Click to expand... Sure. Akiwa serious, professional na bei za competition anaweza.
nzalendo said: kabisa pia auze na spea mdogo mdogo,,,na mafuta ya kidebe......hatujui mu wapi..... Click to expand... Sure. Akiwa serious, professional na bei za competition anaweza.
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,335 Reaction score 5,014 May 12, 2024 #6 Haulipi unless pesa ya mtaji iwepo afanye kwa ukubwa Zaid na uuzaji wa spare nje na hapo ni hela za supu tu
Haulipi unless pesa ya mtaji iwepo afanye kwa ukubwa Zaid na uuzaji wa spare nje na hapo ni hela za supu tu
Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,679 Reaction score 4,420 May 13, 2024 #7 Mr simple M said: Haulipi unless pesa ya mtaji iwepo afanye kwa ukubwa Zaid na uuzaji wa spare nje na hapo ni hela za supu tu Click to expand... YAs, kuuza spare ndio itakayomlipa zaidi, hivyo akiwa na ufundi kufungafunga baadhi aaaah! Maisha anaendesha fresh tu
Mr simple M said: Haulipi unless pesa ya mtaji iwepo afanye kwa ukubwa Zaid na uuzaji wa spare nje na hapo ni hela za supu tu Click to expand... YAs, kuuza spare ndio itakayomlipa zaidi, hivyo akiwa na ufundi kufungafunga baadhi aaaah! Maisha anaendesha fresh tu
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,007 Reaction score 28,359 May 13, 2024 #8 kharuzi said: Wakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa? Click to expand... Mwamba hamna kazi isiyolipa,ni wewe yu kuipenda kazi,kuweka juhudi na kuongeza maarifa kwenye kazi yako.
kharuzi said: Wakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa? Click to expand... Mwamba hamna kazi isiyolipa,ni wewe yu kuipenda kazi,kuweka juhudi na kuongeza maarifa kwenye kazi yako.