P Pantosha JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 869 Reaction score 1,282 Feb 18, 2024 #1 Wakuu wa nchi za Africa wamekutana nchi Ethiopia ambayo ni makao makuu ya Umoja wa Africa huku agenda zao kuu ni pamoja na masula ya usalama, elimu, uchumi, nk. Nauliza je tuwaamini kwamba watatuletea Amani, elimu bora pamoja na maendeleo? Attachments IMG_4724.png 1.6 MB · Views: 6
Wakuu wa nchi za Africa wamekutana nchi Ethiopia ambayo ni makao makuu ya Umoja wa Africa huku agenda zao kuu ni pamoja na masula ya usalama, elimu, uchumi, nk. Nauliza je tuwaamini kwamba watatuletea Amani, elimu bora pamoja na maendeleo?
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,165 Reaction score 45,479 Feb 18, 2024 #2 Ukishakuwa mwafrica wewe ni TAPELI tu
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,432 Feb 18, 2024 #3 Mgogoro mpya ni Senegal wasipokuwa makini Majeshi yanaweza kupindua. AU wawe wakali kwa Wanajeshi ili warejeshe Madaraka kwa Raia.
Mgogoro mpya ni Senegal wasipokuwa makini Majeshi yanaweza kupindua. AU wawe wakali kwa Wanajeshi ili warejeshe Madaraka kwa Raia.