Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,856 Nov 19, 2012 #1 Kwa mtindo ambao unaendelea ktk nchi yetu kwa sasa,ukiwa unatoa ishara ya TANZANIA ijayo,je ni kweli TANZANIA bado itaendelea kupata AMANI au na sisi tunaelekea kuwa SOMALIA mpya ?. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Kwa mtindo ambao unaendelea ktk nchi yetu kwa sasa,ukiwa unatoa ishara ya TANZANIA ijayo,je ni kweli TANZANIA bado itaendelea kupata AMANI au na sisi tunaelekea kuwa SOMALIA mpya ?. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,336 Reaction score 23,956 Nov 19, 2012 #2 umesomeka kwa nguvu ya 1 mkuu. Please re-transmit!!!
S Savannah JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 239 Reaction score 29 Nov 19, 2012 #3 Tatizo ni CCM. Tuondokane na CCM Inchi itakuwa sawa. Hata somalia matatizo yake yametokana na uongonzi mbovu.
Tatizo ni CCM. Tuondokane na CCM Inchi itakuwa sawa. Hata somalia matatizo yake yametokana na uongonzi mbovu.
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 11,084 Reaction score 12,329 Nov 19, 2012 #4 Tukibadili mfumo tutafika lasivyo miaka5 mingi tutagawana fito, tofali na mchanga kila mtu akajenge anapo pajua
Tukibadili mfumo tutafika lasivyo miaka5 mingi tutagawana fito, tofali na mchanga kila mtu akajenge anapo pajua