CCM imekata pumzi wamejichimbia kaburi wanadhani ni zama zileee za ujima kwasasa mimi nasema inatoshaNakubaliana na Prof Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, wakati akichangia Bungeni, kwenye mjadala wa kuridhia Mkataba (makubaliano) wa Ushirikiano (IGA) kati ya Tanzania na Dubai, kwamba Watanzania hawapingi uwekezaji wa bandari wanataka mikataba iwe mizuri, wataalamu mzingatie hilo ili uwekezaji katika bandari uwe na tija.
Hoja yangu (Tanzania ni shamba la bibi) ina uhakika kutokana na jinsi IGA ulivyoandaliwa - Ibara ya 2(2), Ibara 4(3), Ibara 5(4), Ibara ya 7(2) Ibara ya 8(3), Ibara ya 19 - na hatimaye kuridhiwa na Bunge la JMT.
Yafuatayo ni misingi ya hoja yangu.
1. Ni kweli, Bandari za Tanzania Bara hazijauzwa kwa Mwarabu. Lakini, pasi kigugumizi, bandari na maeneo ya uwekezaji, zimewekwa kwenye himaya ya Dubai (Ibara ya 4) kwa muda usio na kikomo (Ibara ya 23), kwa kuwa IGA ni mkataba wa mahusiano, na mahusiano huwa haya muda maalumu wa kukoma.
2. DP World (DPW), kampuni iliyoteuliwa na Dubai kutekeleza miradi, iliyoainishwa kwenye randama na. 1, imepewa madaraka yasiyo na mipaka, kuanzisha miradi mipya, wakati wowote, kuligana na IGA (Ibara ya 7). Kwa msingi huu, na ikizingatiwa maendeleo hayana kikomo, ni wazi kuwa DPW itakuwepo nchini milele ikilindwa na IGA.
3. Je, kuna uwezekano wa kuvunja uhusiano huu wa "Kiuchumi (Economic)" na "Kijamii (Social)" - maneno yaliyotumia yakiwa na dhamira ovu nyuma yake japo kwa juu juu yanapendeza kwa nchi maskini kama Tanzania?
Jibu ni HAPANA.
Tanzania ni moja ya nchi yenye rasmali zenye utajiri mkubwa barani Africa (Ardhi yenye rutuba, madini na mbuga za wanyama, mipaka na nchi 8, Bahari, Maziwa na mito, nk). Kwa sababu hiyo ni kivutio kikubwa kwa nchi tajiri, ambazo, kwa kisingizio cha uwezo wake kimtaji, wako tayari kuwekeza ati kutuondoa kwenye umaskini. Ebu tujiulize, makampuni ambayo yamekuwa yakichimba madini nchini tangu Ihuru, Tanzania imetajirika kwa kiwango gani?
Ni wakati sasa wa kusema IMETOSHA TANZANIA KUWA SHAMBA LA BIBI
Yule bwana alisema MTANIKUMBUKANakubaliana na Prof Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, wakati akichangia Bungeni, kwenye mjadala wa kuridhia Mkataba (makubaliano) wa Ushirikiano (IGA) kati ya Tanzania na Dubai, kwamba Watanzania hawapingi uwekezaji wa bandari wanataka mikataba iwe mizuri, wataalamu mzingatie hilo ili uwekezaji katika bandari uwe na tija.
Hoja yangu (Tanzania ni shamba la bibi) ina uhakika kutokana na jinsi IGA ulivyoandaliwa - Ibara ya 2(2), Ibara 4(3), Ibara 5(4), Ibara ya 7(2) Ibara ya 8(3), Ibara ya 19 - na hatimaye kuridhiwa na Bunge la JMT.
Yafuatayo ni misingi ya hoja yangu.
1. Ni kweli, Bandari za Tanzania Bara hazijauzwa kwa Mwarabu. Lakini, pasi kigugumizi, bandari na maeneo ya uwekezaji, zimewekwa kwenye himaya ya Dubai (Ibara ya 4) kwa muda usio na kikomo (Ibara ya 23), kwa kuwa IGA ni mkataba wa mahusiano, na mahusiano huwa haya muda maalumu wa kukoma.
2. DP World (DPW), kampuni iliyoteuliwa na Dubai kutekeleza miradi, iliyoainishwa kwenye randama na. 1, imepewa madaraka yasiyo na mipaka, kuanzisha miradi mipya, wakati wowote, kuligana na IGA (Ibara ya 7). Kwa msingi huu, na ikizingatiwa maendeleo hayana kikomo, ni wazi kuwa DPW itakuwepo nchini milele ikilindwa na IGA.
3. Je, kuna uwezekano wa kuvunja uhusiano huu wa "Kiuchumi (Economic)" na "Kijamii (Social)" - maneno yaliyotumia yakiwa na dhamira ovu nyuma yake japo kwa juu juu yanapendeza kwa nchi maskini kama Tanzania?
Jibu ni HAPANA.
Tanzania ni moja ya nchi yenye rasmali zenye utajiri mkubwa barani Africa (Ardhi yenye rutuba, madini na mbuga za wanyama, mipaka na nchi 8, Bahari, Maziwa na mito, nk). Kwa sababu hiyo ni kivutio kikubwa kwa nchi tajiri, ambazo, kwa kisingizio cha uwezo wake kimtaji, wako tayari kuwekeza ati kutuondoa kwenye umaskini. Ebu tujiulize, makampuni ambayo yamekuwa yakichimba madini nchini tangu Uhuru, Tanzania imetajirika kwa kiwango gani?
Ni wakati sasa wa kusema IMETOSHA TANZANIA KUWA SHAMBA LA BIBI
Tatizo letu wenyewe tunaendekeza upigaji tu !! Mpaka wenyewe tutakapobadilika na kuwa wazalendo wa kweli kabisa tukaacha upigaji ndio Shamba la Bibi litafikia ukomo wake !Nakubaliana na Prof. Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, wakati akichangia Bungeni, kwenye mjadala wa kuridhia Mkataba (makubaliano) wa Ushirikiano (IGA) kati ya Tanzania na Dubai, kwamba Watanzania hawapingi uwekezaji wa bandari wanataka mikataba iwe mizuri, wataalamu mzingatie hilo ili uwekezaji katika bandari uwe na tija.
Hoja yangu (Tanzania ni shamba la bibi) ina uhakika kutokana na jinsi IGA ulivyoandaliwa - Ibara ya 2(2), Ibara 4(3), Ibara 5(4), Ibara ya 7(2) Ibara ya 8(3), Ibara ya 19 - na hatimaye kuridhiwa na Bunge la JMT.
Yafuatayo ni misingi ya hoja yangu;
1. Ni kweli, Bandari za Tanzania Bara hazijauzwa kwa Mwarabu. Lakini, pasi kigugumizi, bandari na maeneo ya uwekezaji, zimewekwa kwenye himaya ya Dubai (Ibara ya 4) kwa muda usio na kikomo (Ibara ya 23), kwa kuwa IGA ni mkataba wa mahusiano, na mahusiano huwa haya muda maalumu wa kukoma.
2. DP World (DPW), kampuni iliyoteuliwa na Dubai kutekeleza miradi, iliyoainishwa kwenye randama na. 1, imepewa madaraka yasiyo na mipaka, kuanzisha miradi mipya, wakati wowote, kuligana na IGA (Ibara ya 7). Kwa msingi huu, na ikizingatiwa maendeleo hayana kikomo, ni wazi kuwa DPW itakuwepo nchini milele ikilindwa na IGA.
3. Je, kuna uwezekano wa kuvunja uhusiano huu wa "Kiuchumi (Economic)" na "Kijamii (Social)" - maneno yaliyotumia yakiwa na dhamira ovu nyuma yake japo kwa juu juu yanapendeza kwa nchi maskini kama Tanzania? Jibu ni HAPANA.
Tanzania ni moja ya nchi yenye rasmali zenye utajiri mkubwa barani Africa (ardhi yenye rutuba, madini na mbuga za wanyama, mipaka na nchi 8, Bahari, Maziwa na mito, nk). Kwa sababu hiyo ni kivutio kikubwa kwa nchi tajiri, ambazo, kwa kisingizio cha uwezo wake kimtaji, wako tayari kuwekeza ati kutuondoa kwenye umaskini. Ebu tujiulize, makampuni ambayo yamekuwa yakichimba madini nchini tangu Uhuru, Tanzania imetajirika kwa kiwango gani?
Ni wakati sasa wa kusema imetosha Tanzania kuwa shamba la bibi.