Huyo sio kiongozi, ni muhaya mpenda sifa tu.Jina la huyo kiongozi aliyeshikiwa mwavuli ili asilowane na mvua ni nani?
Unateseka ukiwa wapi mtoa mada?Huyo sio kiongozi, ni muhaya mpenda sifa tu.
Huwa anatembea na mabodyguard wamebeba mwamvuli kumlinda na jua.