Sikiliza dogo,nakshaur n vema ukaangalia channel zngne wakat unasubir hyo sec..selexn coz unaweza subiria zkaja haumo tena ukajkuta unapoteza mwaka mzma mtaan..!! Pole Sana ila uskate tamaa
Tafuta Private kulingana na tahsusi ya ufaulu wako ukichaguliwa second selection kama ni shule nzuri uende au sio nzuri uripoti na Ufanye mkakati wa kuhamia shule iliyo nafuu hapo Jan 2017.