Let the mighty God intervene for sure!Mungu awafanyie wepesi
Ww mbona unashabikiaga mayahudi kuuwa wapalesitina?... nashangaa majinga fulani humu jf kushabikia umwagaji damu unaofanywa na fashisti Putin. Makaburu mamboleo wamo humu!
Sijawahi kushabikia umwagaji damu isiyo na hatia Mzee. Elewa hilo.Ww mbona unashabikiaga mayahudi kuuwa wapalesitina?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Tusiwe na double standards USKwa Hali inavyoonekana hii Vita imeonekana kuwa un popular kwa Russia au Putin.
1. Kwanza, nchi nyingi zimeonesha huruma kwa Ukraine kuliko kuishangilia Urusi kuipiga Ukraine. Kwa mfano Poland amegoma kucheza na Urusi kwenye Qualifiers za world cup na Putin kunyanganywa mkanda mweusi kwenye Judo.
2. Pili, Wanachi wa Ukraine wameonesha kusimama na kupigania nchi yao kwa kushika silaha. Kuna wabunge na Kuna Rais mstaafu kaamua kuingia vitani kupigania nchi hii inaleta picha ngumu kwa Urusi kwamba hata tukiiteka Ukraine bado tutapingwa na wanchi wa hapa.
3. Tatu, Kitendo Cha Rais kuingia kwenye uwanja wa Vita kimechochea uzalendo kwenye nchi husika. Hivyo kwa njia Moja ana nyingine imeleta ugumu kwenye Vita.
4. Nne, Kitendo Cha Raia wa Urusi kuandamana kupinga nchi yao kuingia vitani Ni njia mojawapo ya kuonesha kwamba hiyo Vita haikuwa priority ya nchi.
Mwisho, Vita vikitulia na URUSI akashindwa kuidhibiti Ukraine, Kuna hatari akaletewa mashtaka ya uhalifu was kivita na vikwazo Mara mbili kumkomoa maana maadui zake walitaka kuona reaction itakuwaje kwenye Vita, Sasa wameona hata Raia wa Ukraine na Urusi hawaungi mkono hiyo Vita.
Upopular ipi man?Maana vyombo ya habari vya west ndo vinapika propaganda ili ionekane urusi anachukiwaKwa Hali inavyoonekana hii Vita imeonekana kuwa un popular kwa Russia au Putin.
1. Kwanza, nchi nyingi zimeonesha huruma kwa Ukraine kuliko kuishangilia Urusi kuipiga Ukraine. Kwa mfano Poland amegoma kucheza na Urusi kwenye Qualifiers za world cup na Putin kunyanganywa mkanda mweusi kwenye Judo.
2. Pili, Wanachi wa Ukraine wameonesha kusimama na kupigania nchi yao kwa kushika silaha. Kuna wabunge na Kuna Rais mstaafu kaamua kuingia vitani kupigania nchi hii inaleta picha ngumu kwa Urusi kwamba hata tukiiteka Ukraine bado tutapingwa na wanchi wa hapa.
3. Tatu, Kitendo Cha Rais kuingia kwenye uwanja wa Vita kimechochea uzalendo kwenye nchi husika. Hivyo kwa njia Moja ana nyingine imeleta ugumu kwenye Vita.
4. Nne, Kitendo Cha Raia wa Urusi kuandamana kupinga nchi yao kuingia vitani Ni njia mojawapo ya kuonesha kwamba hiyo Vita haikuwa priority ya nchi.
Mwisho, Vita vikitulia na URUSI akashindwa kuidhibiti Ukraine, Kuna hatari akaletewa mashtaka ya uhalifu was kivita na vikwazo Mara mbili kumkomoa maana maadui zake walitaka kuona reaction itakuwaje kwenye Vita, Sasa wameona hata Raia wa Ukraine na Urusi hawaungi mkono hiyo Vita.
Zipo coment zako nyingi sana unasema Israel ni taifa la mungu kwa hiyo ana haki ya kuuwa.Sijawahi kushabikia umwagaji damu isiyo na hatia Mzee. Elewa hilo.
Keywords; damu isiyo na hatia.Zipo coment zako nyingi sana unasema Israel ni taifa la mungu kwa hiyo ana haki ya kuuwa.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
USA 🇺🇸 propagandaKwa Hali inavyoonekana hii Vita imeonekana kuwa un popular kwa Russia au Putin.
1. Kwanza, nchi nyingi zimeonesha huruma kwa Ukraine kuliko kuishangilia Urusi kuipiga Ukraine. Kwa mfano Poland amegoma kucheza na Urusi kwenye Qualifiers za world cup na Putin kunyanganywa mkanda mweusi kwenye Judo.
2. Pili, Wanachi wa Ukraine wameonesha kusimama na kupigania nchi yao kwa kushika silaha. Kuna wabunge na Kuna Rais mstaafu kaamua kuingia vitani kupigania nchi hii inaleta picha ngumu kwa Urusi kwamba hata tukiiteka Ukraine bado tutapingwa na wanchi wa hapa.
3. Tatu, Kitendo Cha Rais kuingia kwenye uwanja wa Vita kimechochea uzalendo kwenye nchi husika. Hivyo kwa njia Moja ana nyingine imeleta ugumu kwenye Vita.
4. Nne, Kitendo Cha Raia wa Urusi kuandamana kupinga nchi yao kuingia vitani Ni njia mojawapo ya kuonesha kwamba hiyo Vita haikuwa priority ya nchi.
Mwisho, Vita vikitulia na URUSI akashindwa kuidhibiti Ukraine, Kuna hatari akaletewa mashtaka ya uhalifu was kivita na vikwazo Mara mbili kumkomoa maana maadui zake walitaka kuona reaction itakuwaje kwenye Vita, Sasa wameona hata Raia wa Ukraine na Urusi hawaungi mkono hiyo Vita.
Vipi Libya walimwaga maji? msiwe biased.. vita mbaya haifai kushabikiwa kwa mtu aina yoyote... nashangaa majinga fulani humu jf kushabikia umwagaji damu unaofanywa na fashisti Putin. Makaburu mamboleo wamo humu!
Kwa hiyo US kushambulia nchi zingine inakuwa inaleta uhalali wa urusi kushambulia ukraine ?Tusiwe na double standards US
ndio anaongoza kwa kushambulia nchi nyingine kama Iraq walisingiziwa wana biological weapons
Am sure Puttin atakuwa amefura kama kifutu kwa sababu alikuwa amemu underestimate huyu Rais wa Ukraine ambaye awali alikuwa comedian na alidiriki kumuita muhuni na teja wa madawa ya kulevya. But in contrary jamaa amem prove very wrong [emoji23][emoji23][emoji12]... nashangaa majinga fulani humu jf kushabikia umwagaji damu unaofanywa na fashisti Putin. Makaburu mamboleo wamo humu!
Hoja za kindezi Sana hizi [emoji12][emoji12]Tusiwe na double standards US
ndio anaongoza kwa kushambulia nchi nyingine kama Iraq walisingiziwa wana biological weapons
Urusi hawana media za propaganda??? Hivi unajua nchi nyingi za Africa mara baada ya uhuru ni wapi walienda kusomea propaganda? Unamjua vizuri Kingunge Ngombale Mwiru???Upopular ipi man?Maana vyombo ya habari vya west ndo vinapika propaganda ili ionekane urusi anachukiwa