GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,731
- 109,296
Angefanya mazoezi 24/7 asingebeba kile ki fridge
Kwakweli anahitaji mshauri wa mazoezi na chakula. Kumbuka kuwa walimu wanafundishwa mazoezi ya viungoMkuu huwezi amini nilianza Kuogopa sana hasa nilipomuona akiwa anaanza Kuishiwa nguvu hasa ile ' Pushapu ' ya mwisho huku akiwa kama vile anataka Kumuita Kassim aje amuinue ila ghafla alijiinua mwenyewe na hatimaye akaamka na Mimi huku nikasema Mungu Mkubwa. Hata hivyo alivyoenda Kuketi nilimuona kwa mbaali kama vile akimuambia Kassim kuwa leo ningeumbuka Mwanangu huku akimuonyesha ' Nakozi ' zake na kuonekana yupo vizuri mno Kimazoezi.
Weka yako ya kuongelewa na wanaume ijadiliwe.upuuzi mtupu hii mada ya kuongelewa na wanawake wakiwa wanapika.
Upuuzi
Pete?Pete yako ya kuongelewa na wanaume ijadiliwe.