Kinyayo Senior Member Joined Aug 17, 2016 Posts 102 Reaction score 70 Sep 18, 2016 #1 Wakuu msaada wenu tafadhali naomba mnasaidie kuwa laptop ya Mac Book Pro ya apple inaflashiwa kama laptop zingine, na kama ndiyo kuna madhara yoyote yaweza kutokea?...... Na kama haiflashiwi kwa nini?........
Wakuu msaada wenu tafadhali naomba mnasaidie kuwa laptop ya Mac Book Pro ya apple inaflashiwa kama laptop zingine, na kama ndiyo kuna madhara yoyote yaweza kutokea?...... Na kama haiflashiwi kwa nini?........
lameck laedo Senior Member Joined May 15, 2016 Posts 174 Reaction score 76 Sep 18, 2016 #2 Haujaeleweka bado, maelezo yako hayajashiba.!!