queen of the jungle
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 228
- 430
unawaharibia wenzio biashara hao ndo wakikosa kazi huwa vibaka unauhakika gani kama ni ya paka sio vizuri ukiona kitu hukiamini ni bora ukae kimyaaMishikaki ya kwenye vituo vya Daladala asilimia kubwa ni ya Paka! Be warned!
Ha ha ha ha haanaliwa tu, waulize wanaume wadar wale wanaopenda kula mishikaki ya chelewa barabarani, washalishwa sana paka na wanadunda mitaani!
Weka aya hapa!Vitabu vya dini vinasemaje juu ya kula paka? Nachojua kula paka ni najisi kwa mujibu wa vitabu vya kikristo na kiislam,
how easy?Paka wanawapata bure!
Not so easy. Kuna makala iliandikwa jinsi jamaa mmoja alivyokuwa anawatega kwenye jalala kubwa. Alifuatiliwa sana hadi wakajua wapi anakaa na biashara yake. Siku ya kuvamia kwake alikuwa anawaandaahow easy?
sasa kwa ugumu wote huo.kwanini mtu ahangaike kutega mipaka hukoo..na kila siku lazima we nayo...hakuna absolute cost lakini kuna relative cost kubwaNot so easy. Kuna makala iliandikwa jinsi jamaa mmoja alivyokuwa anawatega kwenye jalala kubwa. Alifuatiliwa sana hadi wakajua wapi anakaa na biashara yake. Siku ya kuvamia kwake alikuwa anawaandaa
Kama alternative nyingine ni kukaa bure, it's worth hizo efforts zake!sasa kwa ugumu wote huo.kwanini mtu ahangaike kutega mipaka hukoo..na kila siku lazima we nayo...hakuna absolute cost lakini kuna relative cost kubwa