Nimewahi kusikia kuwa ntulantu ni dawa japo sina uhakika, naomba kufahamu kama kweli ni dawa na kama ni dawa je inatibu ugonjwa gani/kitu gani na matumizi yake yapoje?
Nimewahi kusikia kuwa ntulantu ni dawa japo sina uhakika, naomba kufahamu kama kweli ni dawa na kama ni dawa je inatibu ugonjwa gani/kitu gani na matumizi yake yapoje?
Duh umenikumbusha mbali sana kuna jamaa ýang ni mmasai sku moja mimi na yeye tulikuwa na ombi flan Hv kwa boss na ilibid tuongee nae face to face akanishauri tuchimbe mizizi yake tutafune wakati tunaongea nae tukafanyaivo dah nilikuta boss anakubali bila hata kuhoji mambo ya imani hay ilibd nianze kuamni ni dawa