Mkuu,
Mawazo ya kwamba thamani ya nchi inatokana na kilichopo ardhini tu ni mawazo ya kizamani sana.
North Korea ka train an army of hackers, kapiga crypto za dola bilioni 6.3 katika heist moja tu, na hii si ya kwanza waliingia mpaka benki kuu ya Bangladesh wakasomba pesa nyingi tu.
Na hizo wanaweza kuzipeleka kwenye nuclear program yao.
Sasa huoni kuwa wanasumbua dunia kwa kujenga jeshi la kuiba mitandaoni na kutumia oesa kwenye kujenga a nuclear arsenal?