Je, NMB kuna Fixed Account ya Mwezi Mmoja?

Nasikia pesa yako iliyo kwenye F.A hufanyiwa biashara sasa kama ni hivyo inawezekana wakawa na business plan ya mwezi?
 
Hivi hiyo riba wanakupangia wao au ni maelewano yenu tu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…