Je nitapataje mpenzi wa kweli

Joined
Feb 9, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Natafuta mama sukari aka sugar mamy wakunilea napenda sana mama kubwa na sijui nitapataga if kuna anayetaka kijana aniambie kwa email hii igkboy@hotmail.com
 
Ili upate mpenz mwema njia rahc ni kumuomb mung kwa lman 2 ndio akuonyeshe kwa maono.
 
unataka kulelewa tena Mangi?
 
Ukikosa limama la kukulea jaribu kutafuta libaba la kukulea, yako mengi tu huku mitaani
 
dam-it! kwa kupenda kulelewa!!

unyonyeshwe....

uogeshwe...

upelekwe shule...

ukilia, unabembelezwa!! duh! hongera bana wenye miili yenu ya kulelewa!

 
Kwa kweli huu umaskini wa kipato utapoteza kundi kubwa la taifa la kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…