Mnangaika nyie vijana na macourse magumu ayo ajira zenyewe akuna kasomeni bcom tuu co lazima ayo macourse ya afya kwanza gharama...someni hata account,procurement,business administration mbn kazi zake zipo nyingi sana afu pia co kozi ngumu shuleni mishahara yake kazini mikubw kuliko awo watu wa afya afu pia mishemishe kibao za pesa 50k,au 30k per day mtu ukosi me nashangaa mnangaika na iyo micourse ya afya...