Je nimerogwa? Uko uchawi kweli? Naomba usaidizi tafadhali, dada yenu kutoka Ujerumani


Si umpe hiyo avater yako kwani si una upanyaji kibao
RESPECT TO YOUR AVATER SACRAMENT EUCHARIST!
 
Pole sana mpendwa kwa matatizo ya maisha. We amini umepona tayari nautaona vile mambo yataanza kuongoka. usisemi utapona (future) sema tu nimepona na kila kitu kitarudi sawa kuanzia dakika hili sababu mimi namtegemea Mungu wangu.
Mweleze vizuri mwenzio yaana unataka aseme nimepona tuu kwa mamlaka gani ya jina lake na babake au unaongelae jina la YESU, lazima akiri (of which it’s the only name given by which it has power to destroy every demon).otherwise mweleze aamini amepona kwa mamlaka gani?
 
Pole dada, uchawi upo tena unafanya kazi. Si vizuri kuamini kwamba umerogwa, kwasababu imani inaumba, kama umeshaenda hospitali endelea kutumia dawa huku ukiendelea kumuomba Mungu, sijui unaabudu dini gani ila nakushauri uende ktk vikundi vya wanamaombi wakuweke katika maombi. Amini utapona
 

Ushauri ni mzuri sana kwa yeyote anayeamini ila hapa ni kwa neema tu ndipo ushauri huu utafanya kazi(they do blv in mwl ,kisomo ,kutuliza etc)I wish I cud open her eyes and make her understand all these
 
Pole sana mpendwa kwa matatizo ya maisha. We amini umepona tayari nautaona vile mambo yataanza kuongoka. usisemi utapona (future) sema tu nimepona na kila kitu kitarudi sawa kuanzia dakika hili sababu mimi namtegemea Mungu wangu.

hujambo RussianRoulete? hongera kwa uzi wako wa jana!
 
pole mama,ushauri kuhusu masuala ya ufundi watu watakupa openly kweli? labda through PM's
 
DAWA YA MAJINI NI YESU KRISTO PEKEE huko sijui kwa mganga unaenda kuongeza majini mengine kama mia saba.mpokee YESU AWEBWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO,si dini mpya ni mfumo mpya wa kuishi .JARIBU UONE KAMA MIZIGO YAKO HAIJAISHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…