Je nimerogwa? Uko uchawi kweli? Naomba usaidizi tafadhali, dada yenu kutoka Ujerumani

mtoto kufariki ni kawaida
kuhusu kuumwa umepima hospital? kama ndio ugonjwa wa majini au ushirikana
nijuavo hospitali hawawezi ona kama unaumwa
ila kama waliona basi endelela kutumia daw ahuku ukimtumain Mungu,
sitachelea kusema damu ya YESU NDIO DAWA YAKO hakuna ingine hakuna mponyaji zaidi yake.

mtafute mchungani akuombee si lazima ubadili dini yako ila mwmaini yesu pekee
hao wengine wa kisomo na mashaka kwani watataka hela.

Si umpe hiyo avater yako kwani si una upanyaji kibao
RESPECT TO YOUR AVATER SACRAMENT EUCHARIST!
 
Pole sana mpendwa kwa matatizo ya maisha. We amini umepona tayari nautaona vile mambo yataanza kuongoka. usisemi utapona (future) sema tu nimepona na kila kitu kitarudi sawa kuanzia dakika hili sababu mimi namtegemea Mungu wangu.
Mweleze vizuri mwenzio yaana unataka aseme nimepona tuu kwa mamlaka gani ya jina lake na babake au unaongelae jina la YESU, lazima akiri (of which it’s the only name given by which it has power to destroy every demon).otherwise mweleze aamini amepona kwa mamlaka gani?
 
Pole dada, uchawi upo tena unafanya kazi. Si vizuri kuamini kwamba umerogwa, kwasababu imani inaumba, kama umeshaenda hospitali endelea kutumia dawa huku ukiendelea kumuomba Mungu, sijui unaabudu dini gani ila nakushauri uende ktk vikundi vya wanamaombi wakuweke katika maombi. Amini utapona
 
mpendwa pole kwa kupoteza mtoto na kwa matatizo yanayokupata.
sisi wakristo biblia yetu inatuambia kwamba uchawi upo lkn ni kitu kisichompendeza Mungu.Lkn kama kweli umeshika dini hakuna mchawi wa aina yeyote yule anaweza kukudhuru.Maradhi mengi uliyonayo yanaweza kuwa yanasababishwa na wewe kuwaza sana juu ya matatizo ya kusalitiwa na mumeo.Kuwaza sana juu ya mambo yanayoumiza ni hatari kwa afya ya mwili.Mpendwa ningekushauri kwa ajili ya afya yako punguza mawazo ukiweza acha kabisa kuwaza juu ya hayo matatizo,jaribu kuwaza vitu vinavyofurahisha,isitaki uache wanao wawili wngali wanakuhitaji.Kama kweli wewe ni mtu uliyeshika dini basi nikufananishe na Petro wakati ule alipokua kwenye boti kisha Yesu akamuita kuwa amfuate kwenye maji,Petro mwanzoni alianza kutembea kwenye maji lkn aliposita tu akaanza kuzama, labda mawimbi na kina cha maji kilimtisha.Sasa wewe nawe ni mshika dini mzuri,kwa miaka 13 na tatu Mungu amekuepushia matatizo na watoto wawili kakupa,kumbuka kuna wenzio waliachika hata mwaka haujaisha kwenye ndoa,kuna wengine matatizo yalianzia honeymoney na wengine hadi wamezeeka hata mtoto hawamjui lkn wewe kwa miaka kumi na tatu hujaona hayo ni vyema utambue ni kwa sababu wewe ulikua umeshika dini aka ulimkabidhi Mungu maisha yako ndo maana mambo yakaenda vizuri.Sasa hayo yaliyokupata Mombasa,kupoteza mtoto na maradhi wakristo tunayaita majaribu, ambayo yamekufanya uanze kusita juu ya msimamo wako wakumngangania Mungu,Petro aliogopeshwa na mawimbi akapata hofu akasita akazama,wewe mawimbi yako ni haya yote unayopitia.Mim kwa upendo ninakuomba achana na mambo ya kuulizia mtaalamu sijui mwalimu maana naona umeshaanza kuzama.Hakuna mwalimu ,mganga wala mtaalamu katika dunia hii mwenye nguvu kuliko Mungu.Endelea kushika dini na kumtumainia Mungu.Nakusihi sana ukianza kufanya ushirikina katika maisha yako nuksi,mikosi na mabalaa havitaisha katika maisha.Mungu anakupenda sana,labda ameruhusu ujaribiwe kidogo kama alivyoruhusu Ayubu ajaribiwe lakini ninachojua na kuamini ni kuwa ukiendelea kumtumainia hata uambiwe una maradhi ya aina gani hutakufa maana hata kwa Ayubu Mungu alimruhusu shetani amjaribu Ayubu kwa kila aina ya pigo lakini akamwambie roho yake usiiguse.Hivyo mpendwa wangu usiende kwa washirikina maana Mungu anatosha kuhakikisha kuwa hakuna kitakachotoa uhai wako wala kukudhuru kwa namna yeyote ile.Simama imara ushinde jaribu lako.

Ushauri ni mzuri sana kwa yeyote anayeamini ila hapa ni kwa neema tu ndipo ushauri huu utafanya kazi(they do blv in mwl ,kisomo ,kutuliza etc)I wish I cud open her eyes and make her understand all these
 
Pole sana mpendwa kwa matatizo ya maisha. We amini umepona tayari nautaona vile mambo yataanza kuongoka. usisemi utapona (future) sema tu nimepona na kila kitu kitarudi sawa kuanzia dakika hili sababu mimi namtegemea Mungu wangu.

hujambo RussianRoulete? hongera kwa uzi wako wa jana!
 
pole mama,ushauri kuhusu masuala ya ufundi watu watakupa openly kweli? labda through PM's
 
DAWA YA MAJINI NI YESU KRISTO PEKEE huko sijui kwa mganga unaenda kuongeza majini mengine kama mia saba.mpokee YESU AWEBWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO,si dini mpya ni mfumo mpya wa kuishi .JARIBU UONE KAMA MIZIGO YAKO HAIJAISHA.
 
Back
Top Bottom