Je, ni yupi?

Kilenzi _Jr

JF-Expert Member
Sep 10, 2021
301
1,110
Mtu mmoja kauwawa kwenye rest room ya bar hapo juu kushoto je kupitia picha hii nani atakua kamuua??
 
4... Hana kisu anakula kwa kutumia uma tu... So probably kisu chake ndio kilichotumika kwenye mauaji
 
Namba 4 mwamba kakaa kimawazo sana hayupo focus na chakula so yupo kwenye panic ya tukio alilofanya pia alivyokuwa anamuua yaonyesha kulikuwa na purukushani maana Kuna ka kitambaa ka shati la mshikaji kwenye mkono wa dada jamaa shati yake Kama imelika fulani hapo kiunoni.
 
Mtu mmoja kauwawa kwenye rest room ya bar hapo juu kushoto je kupitia picha hii nani atakua kamuua?? View attachment 1975048
3 ndie mtuhumiwa namba moja Kwa sababu zifuatazo 1.Anakula chakula Kwa kutumia Uma na kisu Kipo pembeni 2.malehemu amechomwa kisu na kisu Kipo pembeni 3.aina ya kisu ndo hicho hicho lakini Kwa nn mkono wa kushoto mwa marehemu ana kipisi cha kitambaa kinachofanana na nguo aliyoivaa namba 4 ni mtazamo wangu tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…