Je, ni tatizo gani hufanya macho kuwa makengeza?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,965
27,203
Wakuu poleni na mishughuliko ya hapa na pale kuna kitu hua nshindwaga kuelewa katika uumbwaji kwenye swala la mfumo w macho hivi ni nini hutokea hadi mtu kuwa na makengeza tena hutofautiana maana kuna aina zaidi tatu ya makengeza.
1akengeza yale macho kutizamana
2: makengeza yale ya kila jicho kutizama upande wake yaani jicho la kulia kutizama kulia na la kushoto kutizama kisho!
3: na makengeza ya jicho moja kuangalia juu na lingine kungalia mbele. Haya ni baadhi tuu ya niliobahatika kuonaje hadi macho kuwa hivyo huwa ni tatizo gani husababisha!!
 
Back
Top Bottom