fundichupi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 382
- 225
Huwa naziheshimu sana nyeeeUkiwa na ugwadu busara inawekwa pembeni
Sanaaa,sasa fundichupi hapo anadai ana ugwadu alafu anafikiria busara tenaHuwa naziheshimu sana nyeee
Mie wa kium ndio maana. Ww una vichwa vingapi..!? Kama unakimoja tuu basi hebu njoo inbobo tuone namna ya kuunganisha vichwa. Popote penye vichwa vitatu huwaga kuna mambo mazuri yanatokeaga. #utatu_mtakatifuKumbe una vichwa viwil
Nimemwambia km mmaza hajaanza menopause basi amvuje mifupa tu, to me ruksa kiroho safiSanaaa,sasa fundichupi hapo anadai ana ugwadu alafu anafikiria busara tena
Akiwa ktk menopause nini kinaeza tokea ama kuwa na madhara..!? Weka dondoo zitasaidia wengi waliopo humu wapiga mechi na maveteraniKamata dagaa piga hivi, km ameshaanza menopause mpotezee vinginevyo kunja minofu hiyo
Hutaipata ladha kwa uzuriAkiwa ktk menopause nini kinaeza tokea ama kuwa na madhara..!? Weka dondoo zitasaidia wengi waliopo humu wapiga mechi na maveterani
Chief , unajua siku zote ya darasani asilimia kubwa hayatumiki ktk maisha ya uhalisia. Acha kukokotoa hesabu za umri mwaga maoni na ujuzi wako.Hakuzidi miaka 18 Bali anakuzido miaka 18+ Wenda ni 20 au 25 n.k.
Bila shaka age yako IPO 25-35.
Tuchukulie tu unamiaka 25 ,, na tujifanye kama anakuzidi iyo iyo 18 kamili.
Kwaiyo yeye anamiaka 43 ,,Wewe unamiaka ,25.
Anyway , Kitulize mkuu !!... Simba hata mbugani kuwe nahaki gan hawezi kula nyasi........atleast angekua amekuzidi 5-9.
Kamata dagaa piga hivi, km ameshaanza menopause mpotezee vinginevyo kunja minofu hiyo