Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,591
- 1,391
HII MOVIE NI HATARI SANA SIZANI KAMA huu mwaka kuna movie ya kuipinduaExtraction , nasikia wanakuja na extraction 2
Nikajua utaandika insyuka the sweet of me..😂Extraction
Van Helsingkama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni movie gani iliyo kufurahisha sana mpaka ukatamani iendelee. kwangu mimi ifua tayo ni list ya ya movie ninazotamani zipate kuendeleaa au kama zina mwendelezo usisite kushare nasi hapa. [1]EXTRACTIION [2]THE GREAT WALL [3]BAD GENIUS [4]IN THE NAME OF THE KING [5]MAZE RUNNER [6]THE EURONAUTS HIZI NAZO NILIISHIA HAPO SIJAPATA KUONA ZIKIENDELEA [1]RESDENTAL EVIL KUANZIA 1,2,3,4,5,6,7........ [2]PIRATE OF the CARIBBEAN KUANZIA 1,2,3,4,5,6,7,8
Jamaa anapewa dili ya kumuokoa mtoto wa gaidi flani aliyetekwa nyara wakati baba yake amefungwa gerezani. Process nzima ya kumuokoa huyo mtoto hadi anafanikiwa iko very interesting japo mwisho starring anafariki hapo ndio sijaelewa.
300 bc RISE OF EMPIRE sijui walikwama wapi kuendelea wakati naona walitoa mbili tu na bado sijaona nyingine na VAN helsing [mzee wa X MEN] nae haikupaswa kuishia pale ingeendelea naona ingelikua freshVan Helsing
Kingsman
The Shawshank Redemption
John Carter
Don't Breathe
3 Idiots
300: Rise of Empire
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo mwisho wa movie ndipo wengi inatupatia utata #iendelee#Jamaa anapewa dili ya kumuokoa mtoto wa gaidi flani aliyetekwa nyara wakati baba yake amefungwa gerezani. Process nzima ya kumuokoa huyo mtoto hadi anafanikiwa iko very interesting japo mwisho starring anafariki hapo ndio sijaelewa.
Angeendelea kuingia nchi nyingine kupambana na Vampire wa huko.300 bc RISE OF EMPIRE sijui walikwama wapi kuendelea wakati naona walitoa mbili tu na bado sijaona nyingine na VAN helsing [mzee wa X MEN] nae haikupaswa kuishia pale ingeendelea naona ingelikua fresh
Asante mkuu ngoja niisake niliona cover tu.Jamaa anapewa dili ya kumuokoa mtoto wa gaidi flani aliyetekwa nyara wakati baba yake amefungwa gerezani. Process nzima ya kumuokoa huyo mtoto hadi anafanikiwa iko very interesting japo mwisho starring anafariki hapo ndio sijaelewa.
wala usiende mbali huko kutafuta movie hiii hapa pakua Download Extraction.2020.REPACK.720p.NF.WEBRip.800MB.x264-GalaxyRG ⭐ Torrent | 1337x
Shukrani aana mkuuwala usiende mbali huko kutafuta movie hiii hapa pakua Download Extraction.2020.REPACK.720p.NF.WEBRip.800MB.x264-GalaxyRGTorrent | 1337x
ki ukweli ktk muvi hii jamaa wametuacha na maswali meng bila wao kujijua. vipi na hiki chuma cha pirate of the caribbean ushakimulika ?Angeendelea kuingia nchi nyingine kupambana na Vampire wa huko.
Ila mkuu lile MONSTER lilikuwa linaenda wapi pale mwishoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
naona extraction ndo chaguo namba moja kwa sasa haina mpinzaniExtraction
Us
Bado sijaona mpinzani kwa Sasa..najrudiaga Kila wakati aisee..watuletee muendelezo .naona extraction ndo chaguo namba moja kwa sasa haina mpinzani