Je ni kweli?

Mbasembase1970

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
6,056
Reaction score
4,608
Iangalie kwa makini hii picha na usome Caption yake. Hivi ni kweli?????

Sina addiction yoyote hapo, vyote natumia kwa kiasi na naweza kukaa hata mwaka bila tatizo lolote

Obsession yangu kubwa imekuwa ni kupata hela nahisi hela inanipa sana security na pride kuliko chochote, sio pombe, mpira wala wanawake
 
Basi utakuwa we sio mwanaume rijali
 
Inferior complexity
 
Inferior complexity
ni reality hiyo, kama unaiona ni inferiority complex utakuwa ni too stupid/naive to understand

katika Dunia hii kitu unachoweza kukiamini zaidi na kisikuangushe ni hela, Hela ndio rafiki na ndugu wa kweli, ndio itakayokuokoa ukiwa katika matatizo na sio ndugu, mpenzi wala rafiki
 
Basi utakuwa we sio mwanaume rijali
Kamlete mama yako kwangu nikupe mdogo wako mwenye akili kidogo aje aokoe familia yenu na umasikini wa kutupa, maana kwa akili zako hizo najua mna umasikini wa kufa mtu, kama ni mzee sana mleta hata dada yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…