johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
H.Polepole is fully supported by a multitude of both the vulnerable and invincible. A historic landslide is gonna reshape the veins of the lamenting soil.Nauliza tu kwa sababu hata Daudi alipopigana na Goliati alikuwa na Mungu wa mbinguni
Hata Mussa alipowaokoa Wana wa Israel alikuwa na Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana π
Mh unaweza kutusaidia tafsiri? Make mim n kama king msukumaH.Polepole is fully supported by a multitude of both the vulnerable and invincible. A historic landslide is gonna reshape the veins of the lamenting soil.
Nani wa kumtoa?Samia must go !!!
CCM chama kikubwa kina wenyewe na wenyewe walijua kabisa Polepole hayuko peke yake na wanawajua kwa majina ndio maana CCM imeamua ama zao au CCM ya wenye CCM yaoNauliza tu kwa sababu hata Daudi alipopigana na Goliati alikuwa na Mungu wa mbinguni
Hata Mussa alipowaokoa Wana wa Israel alikuwa na Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana π
NdioNauliza tu kwa sababu hata Daudi alipopigana na Goliati alikuwa na Mungu wa mbinguni
Hata Mussa alipowaokoa Wana wa Israel alikuwa na Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana π
Nani wa kumtoa?
Tungekuwa na jeshi lenye kujitambua angeng'olewa
H.Polepole anaungwa mkono kikamilifu na umati wa wote walio hatarini na wasio na hatari. Mtikisiko wa anguko la kihistoria wa nchi utahuishwa ndani ya kizazi kinacholalamikaMh unaweza kutusaidia tafsiri? Make mim n kama king msukuma
CCM chama kikubwa kina wenyewe na wenyewe walijua kabisa Polepole hayuko peke yake na wanawajua kwa majina ndio maana CCM imeamua ama zao au CCM ya wenye CCM yao
Nadhani kuna watu walijisahau kuwa kuna wasiojulikana wamiliki wa CCM wakadhani wao na baba na ndugu zao nk kuwa ndio wenye CCM
CCM kina wenyewe na wengi hawajulikani publicly wako behind the scenes
Ahsante sana Mungu akbarkH.Polepole anaungwa mkono kikamilifu na umati wa wote walio hatarini na wasio na hatari. Mtikisiko wa anguko la kihistoria wa nchi utahuishwa ndani ya kizazi kinacholalamika