Je ni bora ya Serukamba?

acheni kutafuta justification ya ujinga alioufanya ccm, na ujinga zaidi alioufanya yule ndugai kwa kufumbia macho tusi kubwa kama lile ambalo ni kosa la jinai na lina hukumu yake

tena kwa kulitamka bungeni alitakiwa avuliwe ahata ubunge yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…