A AMHAPPY New Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2 Reaction score 4 Dec 9, 2022 #1 Habari wadau Naomba ushauri, kwa kuta za nyumba ambazo zimepigwa chipping je naweza zipaka chokaa kama enzi za zamani (badala ya gypsum powder) kisha nipake rangi? Asanteni kwa ushauri.
Habari wadau Naomba ushauri, kwa kuta za nyumba ambazo zimepigwa chipping je naweza zipaka chokaa kama enzi za zamani (badala ya gypsum powder) kisha nipake rangi? Asanteni kwa ushauri.
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,868 Dec 10, 2022 #2 Huo ni uchafu mkuu
Kicheche mkali JF-Expert Member Joined Nov 3, 2021 Posts 229 Reaction score 232 Dec 10, 2022 #3 Haiwezeni upake chokaa halafu upake Rangi....Ila unaweza kupaka chokaa ukapiga prema halafu ukapa Rangi
Haiwezeni upake chokaa halafu upake Rangi....Ila unaweza kupaka chokaa ukapiga prema halafu ukapa Rangi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,201 Reaction score 185,481 Dec 10, 2022 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...
Abuhamos Member Joined Aug 26, 2019 Posts 31 Reaction score 44 Dec 10, 2022 #5 AMHAPPY said: Habari wadau Naomba ushauri, kwa kuta za nyumba ambazo zimepigwa chipping je naweza zipaka chokaa kama enzi za zamani (badala ya gypsum powder) kisha nipake rangi? Asanteni kwa ushauri. Click to expand... Chokaa nje n uongo mkuu
AMHAPPY said: Habari wadau Naomba ushauri, kwa kuta za nyumba ambazo zimepigwa chipping je naweza zipaka chokaa kama enzi za zamani (badala ya gypsum powder) kisha nipake rangi? Asanteni kwa ushauri. Click to expand... Chokaa nje n uongo mkuu
mwalisi JF-Expert Member Joined May 15, 2013 Posts 869 Reaction score 809 Dec 12, 2022 #6 Abuhamos said: Chokaa nje n uongo mkuu Click to expand... Chokaaa inatokana na nini? na gyp sum inatona na nini?
Abuhamos said: Chokaa nje n uongo mkuu Click to expand... Chokaaa inatokana na nini? na gyp sum inatona na nini?