Ukitoka kilichomo ukubali kukiacha huko,unakwenda kuanza zero, shida ni pale unapokuja kustaafu kama kutakuwa na uwezekano wa introductory letters kutoka kwa muajiri mmoja kwenda social security funds mbili tofauti ili uweze kuclaim na ile ya mwanzo.