Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,950
- 2,481
- Thread starter
-
- #121
mmmhh nilimwambia
tanze mambo hapa kwanza mpaka wageni
waondoke ndo tuingie chumbani
yeye naoana kama vile anaogopa..
mmmhh sasa weye huoni mambo yalivyokuwa magumu hapo
hahah lol
hehehe kweli mhulumieni jamani si unaona sku hizi halog out, analala hapa hapa kwenye sredi. yaani nyinyi mnamkatili jamaa hivi hivi.
There are currently 4 users browsing this thread. (4 members and 0 guests)
Katika vigezo ongeza aliyeachika na hasa ambao wameshazaa, wanafaa sana hao wakimpata mume wanatulia kwani wameshajifunza makosa ya ndoa.
hehehe hamna bana, tunampigia debe mgombea wetu, kesho b4 sanraiz kiwe kimeeleweka.
heheeh wewe usiwe na waswas , mimi washkaji wote ambao nimewakalia ulawyer wa kutafta mchumba basi wameondoka na vitu made in brazil. hii ni kes ndogo sana, nitahakikisha jaluo nyeupe anaondoka na half kasti la kitusi within no time. wewe anza kuandaa sredi la michango ya harusi kabisa.
heheheee inawezekana watokea kilimanjaro.......lol namiliki toyota stout mbili lol
Mi namsubiri Nyathiwa tu!
itabidi ufungue ofisi ili uwe agent wa haya mambo au we unaonaje?
una kabati ya mbeho?
unampa kichaa rungu? Ngoja klorokwini akimbie na michango!
ahhh! Huku kuna baridi kipindi hiki kwa hiyo hakuna umuhimu ila nina radio ya picha unaweza kuanza kutuma pm kabisa.
AD hapa watoto wanapita pia achilia mbali wageni ndio maana nimesisitiza twende room.
hahahaaaaa hivi kweli eeehh?
Duuuhhhh haya mkuu lakini sasa ita bidi usubiri mpaka ni rudi tena kwenye mashine kibwa lol
kwani mashine ndogo hazina kidude cha pm?
ai,hata kama baridi ile lazima iwepo just fir show off ili ikuongezee credits bana
Aisee, ikiwa hivyo waliokuchangia si wanaweza kukutoa uhai? hii mambo ya kuamini watu ngumu sana.fungua macho,utajikuta harusi imekudodea maana pesa yooote imepaaa.. Labda cha kufanya umfunge mnyororo halafu ushikilie nchani full tym
usimuharibu mtoto wa watu kwanza huyo ana mwenyewe ... au nikamshtue finest aje hapa??napata uchungu wifi yangu unavyo mshawishi wewe jaluo...:Cry::Cry::Cry:
Hivi hata mkataba wa ndoa ukiisha uwifi unabaki pale pale? Mi vigezo nilivyopewa ni kwenda kupima tu, haya ya kwamba ana mtu ndo napata habari sasa hivi. Inawezekana sio muaminifu eeeh?
hakuna taabu basi nitapitia pale kwa fundi friji nichukue hata mbovu.
Aisee, ikiwa hivyo waliokuchangia si wanaweza kukutoa uhai? Hii mambo ya kuamini watu ngumu sana.
gud,sasa hapa naanza kukukonsida kidogooo na umeshasema una vipick up tenaa.