Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,950
- 2,489
omera safi sana
mungu akusaidie umpate wa ukweli
kwenye avatar apo ndo wewe?
km si wewe basi ni pm ......:smile-big::smile-big::smile-big:!!!!!!
kwenye avatar apo ndo wewe?
km si wewe basi ni pm ......:smile-big::smile-big::smile-big:!!!!!!
ushauri wa mtarajiwa; AWE FUNDI WA KUPIKA NYUKA(UJI):smile-big::smile-big:Habari zenu wana JF,
Mwaka huu nipo katika harakati za kutafuta mchumba katika mazingira ninayoishi na kwingineko, nimeona sio vibaya pia nikiweka wazi nia yangu hapa ili mwanamke yoyote anayedhani namfaa au ananifaa tuweze kuwasiliana, pengine hapa ndio mahali ambapo Mungu amepanga hasa tukutane.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 (kijana wa makamo), ninafanya kazi katika kampuni binafsi, mrefu kiasi, mweusi mwenye umbo la wastani. Ninaishi Arusha na Dar -es –Salaam.
Natafuta mchumba mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 18 – 30. Elimu kuanzia ya sekondari na kuendelea, awe anafanya kazi au awe tayari kufanya kazi ya kujiajiri au kuajiriwa. Awe mkristu au kwa ambaye sio mkristu awe tayari kubadili dini. Awe mcha Mungu, anayejiheshimu, asiye na majivuno wala mwenye makuu, mwenye tabia nzuri na mpenda maendeleo kwa ujumla.
Kwa mwenye nia ya dhati tu, aniPM au kuniandikia e-mail kupitia onyango.alex@gmail.com
Maoni yanakaribishwa pia.
ushauri wa mtarajiwa; AWE FUNDI WA KUPIKA NYUKA(UJI):smile-big::smile-big:
hahahaaa kwa nini kama si mimi ndio nikuPM? huyo wa kwenye avatar hajakuvutia?
:love::love::love::love:
kanivutia lakin mmhh anaonekana ivi...
1.anaonekana ana majigambo km si mbwembwe
2.ana tabia za kikongo ivi
3.sipend mwanaume anayevaa masut sut ivo km anaenda kuppresent pepa kumb anaenda tu saluni kunyoa
4.anaonekana anajipenda yeye tu na concern juu ya familia yake ni C KM SIYO D au F
nimekujibu?una swali lingne?karibu
ur in luuuuuvvvv:love::love::love:..jipakae lami uwe mweuthhh ka yeye...umbea uo!!!!!!!!
ahaa, nimekuelewa. Wakati mwingine muonekano wa mtu unaweza ukawa tofauti na tabia zake. Kwa upande wako inaonekana unachagua kupita kiasi. Wakongo wana tabia gani usizopenda Rose?
ur in luuuuuvvvv:love::love::love:..jipakae lami uwe mweuthhh ka yeye...
ahaa, nimekuelewa. Wakati mwingine muonekano wa mtu unaweza ukawa tofauti na tabia zake. Kwa upande wako inaonekana unachagua kupita kiasi. Wakongo wana tabia gani usizopenda Rose?
mi sichagui kakangu ila nisichotaka ni MWANAUME MWENYE MBWEMBWE ,MAJIGAMBO,ANAYEJIBUST ...APANA
napenda mwanaume wa kawaida ..asiye na makuu ,wakawaida tu,anayevaaa simpo siyo manguo ya gharama sana apana ni kawaida tu cz i do believe mwanaume anayevaa masut daily pasipo sababu maalumu,anayevaa machen ,maviatu ya laki 5 namchululia km ana matatizo..napenda usafi na si mambo ya show off...
mwanaume kwangu ninamthamin kwa up stairs yake awe km;
..controler wangu
..director wangu
..advicer wangu
YAAN AWE KIMBILIO LANGU KWA CHOCHOTE NITAKACHOSHINDWA/UWEZO WANGU WA UBONGO UTAKAPOISHIA BAS ANIPE TAFU...n nt material thng..
sipend wanasesere au wanaojifanya km wametoka na kat ya kinshasa....m simple by nature so napendsa mwanaume simpo km mimi ..mimi sipak sjirembi ata poda sigusi iweje sasa men wangu awe abanduki dresssng trebo na mapoda kumi kumi ,wanja ,lip stk....ohhh no for that case nakuruhusu uniite nachagua sana bt MANJONJO BOY noooo apa hawana nafasi
Hivi hujampata tu Rose wa style hii?
ulithema mie mbea...:frog::frog:..nmenuna..hahhaaaa haaa i want u mimi...wewe mweupe tayariii...smtak nyau mimi ataniibia samak wangu..!!!!!!!!!
ulithema mie mbea...:frog::frog:..nmenuna..