Je, Msemo wa "Cheap is Expensive" kudhihirika kwa Yapi Merkezi kushindwa kujenga SGR ya Tanzania kama tulivyoaminishwa?

Kwahiyo watarudi kwao wakiwa wamejitwisha mikono kichwani

Lakini si ndiyo hawa tuliwasaidia majuzi walipokumbwa na matetemeko!!
 
Kwahiyo watarudi kwao wakiwa wamejitwisha mikono kichwani

Lakini si ndiyo hawa tuliwasaidia majuzi walipokumbwa na matetemeko!!
Msaada wa mahindi na kujenga Sgr vinahusianaje? Jinga nyie vya Bure vinagharama
 
Kampuni imejenga reli Uturuki, Dubai, Algeria, Morocco ije kushindwa kujenga Tanzania maporini huku?

Aliyekwambia YM wameshindwa kuendelea na ujenzi nani. Mama yenu katoa hela wakashindwa ujenzi?
Walijenga lini na Leo ni lini? Huyu hapa mturuki mwingine mwaka mzima Barabara ya km 32 imeshinda licha ya kulipwa pesa 👇

View: https://www.instagram.com/reel/Cx52n1lMFWu/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Waturuki ni chenga na nyie Kwa ufala wenu na Jiwe alikuwa analazimisha bei zake ,haya jengeni Sgr Sasa
 
Miradi hewa tena.... 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Ndio miradi hewa hiyo.
Yaani wajanja ndani ya serikali wanakaa chini kupanga namna ya kupiga hela ndefu, wanatazama social trend need iliyopo karibu karibu, wanabuni solution, wanatangaza mradi. Na kwa sababu watanzania wengi sisi ni wajinga wa kupenda kuona vitu vitu, vikubwa vikubwa, mahali rahisi ni kwenye miundo mbinu na vifaa.

Sasa nenda kutaka kujua gharama zake halisi (actual cost) , matokeo chanya (positive impacts) ya hiyo miradi ndio utajua ni vitu hewa!
 
Idiot mkubwa. Mbona Dkt Samia anamalizia miradi yote. Hawa wala rushwa very soon wote wanapigwa risasi wafe.
Yule mama ana ujasiri gani wa kumpiga risasi mla rushwa?

Miradi ilianzishwa na Magufuli mwenyewe (kwa maslahi yake na munkari wake) na bado alishindwa kufanikisha kwa wakati, halafu huyu mama ambaye hana maslahi nayo wala munkari nayo aweze kuifanikisha? Thubutu yake.
 
Kwanza hii habari ni ya kusadikika, wapi kumetangazwa kufilisika Yepi Merkez?

Hata ikifilisika huko kwao hakuhusiani na kazi yao ya Tanzania. Kazi ya Tanzania ni design and build.
 
Hii ya kipuuzi mno
 
Wakati wa JPM project haikusimama. Kwanini isimame sasa hivi?Nani aliwaongezea lot kutoka Makutupola kwenda Tabora na Isaka?
Hakuna anayeporwa hela sasa hivi kama enzi za Mwendazake ili kuwalipa Yerpi, ndio maana waziri wa fedha yupo ulaya na mama arabuni kutafuta fedha.
 
Wahuni wa ccm wameanza kuhujumu mradi wa sgr,wanajua fika ukitekerezwa biashara zao za mafuta na usafirishaji kupitia maroli zao zinaenda kufa.

Sa100 hana uwezo wa kuwadhibiti anacheza ngoma yao.
 
Na wewe acha unaa, Yapi kapewa lot 1-3, mbili kamaliza na ya mwisho ndiyo kakwamia njiani ,sasa Cheap is expensive inataoka wapi?

Kwani huyo China ambaye anajenga kwenda Mwanza yeye kamaliza kazi,mbona na yeye anambwela tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kampuni kubwa inayoweza kuacha tenda kubwa namna hiyo kwani kuna mabenki mengi sana makubwa duniani yanatafuta kampuni zilizoshinda tenda kubwa ili ziwape fedha.

Kuna kitu Waturuki wameshaona na sio ajabu hiyo SGR ikaota nyasi!
 

Yale yale ya dp world kutokea kwa wajomba zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…