Hapana mkuu.... stick to the topic....tunamzungumzia mpanzuNahisi Tanzania Ndio Inavijana Wajinga kuliko taifa lolote.
Huyu Mpanzu Jana Ndio Kawezesha Goli la Kuleta Matumain na Kutuliza Presha Za Watu Leo unaona sio kitu!
Hao Unao waona Wamaana Nini wamefanya !?
Chama kafanyaje Toka kafika huko!
Boka Anakimbia Kama Ndege Mwarabu Kakatwa Mdomo[emoji625]
Nahisi Tanzania Ndio Inavijana Wajinga kuliko taifa lolote.
Huyu Mpanzu Jana Ndio Kawezesha Goli la Kuleta Matumain na Kutuliza Presha Za Watu Leo unaona sio kitu!
Hao Unao waona Wamaana Nini wamefanya !?
Chama kafanyaje Toka kafika huko!
Boka Anakimbia Kama Ndege Mwarabu Kakatwa Mdomo📍
[/QUOTE
Chama ndo alipiga ule mshuti hadi chizi Kijili akajifunga
Ndugu yangu privadinho Umepata wapi ujasiri wa kumuongelea mpanzu? Wenzako wote wanalia ila wewe upo mitandaoni, wewe ni uto au ni simba?Vua maski kaka tushakujua wew ni joshua mutale elie mpanzu kabaki kongo [emoji28][emoji28]
Jamaa alikuja Kwa mbwembe ...Hadi BBC walimpost......makolo waliimba jina lake kama hawana akili.....but what happened...Kila mmoja anaona...
NB Bora mutale kuliko mpanzu ....takwimu hazidanganyi[emoji23][emoji23]
Mbombo ngafu View attachment 3207410
Jamaa alikuja Kwa mbwembe ...
Alivyokuwa anasifiwa mpaka kocha akasema anashindwa ampange nafasi Gani kwa ubora wake,,lakini kinachotokea ni vitu viwili tofauti,,wachezaji aina ya mpanzu wamejaa Tanzania sioni tofauti yake na wakina offen chikola,,kiufupi ni Mutale aliyechangamka ni machachari na sio hatari!Vua maski kaka tushakujua wew ni joshua mutale elie mpanzu kabaki kongo [emoji28][emoji28]
Jamaa alikuja Kwa mbwembe ...Hadi BBC walimpost......makolo waliimba jina lake kama hawana akili.....but what happened...Kila mmoja anaona...
NB Bora mutale kuliko mpanzu ....takwimu hazidanganyi[emoji23][emoji23]
Mbombo ngafu View attachment 3207410
Tulikuwa mpaka hatulali usingizAlivyokuwa anasifiwa mpaka kocha akasema anashindwa ampange nafasi Gani kwa ubora wake,,lakini kinachotokea ni vitu viwili tofauti,,wachezaji aina ya mpanzu wamejaa Tanzania sioni tofauti yake na wakina offen chikola,,kiufupi ni Mutale aliyechangamka ni machachari na sio hatari!
Mchezaji anarukaruka tu kama maharage ya mbeya,,another Mutale in Town!Tulikuwa mpaka hatulali usingiz