Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,276
- 2,057
Ebu jibu kwa hao wakalimani wa upande huoUkihitaji kujua za wakalimani wa lugha ya alama ya viziwi niulize hii yako siijui
hao wa muv hakuna lugha wasioijuaSwali lako ni too general
Kuna mkalimani
Kwenye utalii
Makanisani
Kwenye movies
Etc.
Kwa hiyo kuwa specific
dah kweli sikuweka wazi, nazungumzia wa kwenye viwanda mkuuSwali lako ni too general
Kuna mkalimani
Kwenye utalii
Makanisani
Kwenye movies
Etc.
Kwa hiyo kuwa specific
πππ Wa kwenye movies hao ni balaa kila lugha wanaiburuzaahao wa muv hakuna lugha wasioijua
Sio hii mkuu ila pia unaweza kuijibu tuu kwa faida ya wengine. Ikiwezekana ainisha na sekta pia.Ukihitaji kujua za wakalimani wa lugha ya alama ya viziwi niulize hii yako siijui
Aaahdah kweli sikuweka wazi, nazungumzia wa kwenye viwanda mkuu
Wakuu salam....
Naomba kwa anayejua anijuze tafadhali.
Malipo kwa mwezi au wiki.
Je, kama malipo ni kwa masaa au siku ni shilingi ngapi.
NB: Ni anayetafsiri lugha ya kiingereza kwenda kiswahili.
Shukrani.
Verbal 100$ per dayWakuu salam....
Naomba kwa anayejua anijuze tafadhali.
Malipo kwa mwezi au wiki.
Je, kama malipo ni kwa masaa au siku ni shilingi ngapi.
NB: Ni anayetafsiri lugha ya kiingereza kwenda kiswahili.
Shukrani.
yawezekana unachosema kikawa na ukweli ila wachina wengi wanakuja hawajui mkuu.Aaah
Experience inaonesha jamaa wa viwandani huwa wanajifunza lugha kabsaa wakata wa kuja.
Sidhani kama kuna madili mengi huko
Hahahahaπππ Wa kwenye movies hao ni balaa kila lugha wanaiburuzaa
Anhaaayawezekana unachosema kikawa na ukweli ila wachina wengi wanakuja hawajui mkuu.
hapana, si mtaalamu ni mfasiri tuu ambaye wahitaji wameamua kufanya nae kazi. Amesomea inshu zingine kabisaaHuyo mtafsiri ni mtaalamu wa tafsiri ama mtafsiri tu?
shukrani mkuu huyu ni verbal, na kama ni mwezi kadirio likoje blazaVerbal 100$ per day
Written 20-40 $ per page
πππ balaa aisee kama ndo wabahili, hawa ni wa kwenye machimbo mkuu au wote ni walewale tuu. Waswahili husema mbwa ni mbwa hata umpe jina.Anhaaa
Ila sasa wachina ndio wabahiliiii
Ehehehee!
Ngoja ntakuulizia kwa watu nnao wajua
Huyu yeye sio mtaalamu bali ni vile tuu wamefahamiana nae wameamua kufanya nae kazi.Inategemea na price list yako. Wengine wanalipwa kwa neno/word by wprd, wengine kwa kazi nzima nk
Hahahahπππ balaa aisee kama ndo wabahili, hawa ni wa kwenye machimbo mkuu au wote ni walewale tuu. Waswahili husema mbwa ni mbwa hata umpe jina.
Anyway, ukipata majibu tafadhali nijuze mkuu