Je, Marekani atavamia Iran?

Unaanzisha ugomvi ukitegemea majirani?

Hao majirani wametoa msaada gani alipopigwa mtoto wako mpaka kufa?

China, india, urusi nk. Wametoa msaada gani kwa iran baada ya kiongozi wakivita kutoka iran kulipuliwa na marekani?

Hivi unafikiri hasara atayopata china kwenye mafuta italingana na hasara ya silaha zake za kivita ambazo atatumia kwenye uwanja wa vita?

Hivi unafikiri hasara ya kukosa mafuta kutoka iran ina hasara zaidi kuliko hasara ya ku risk maisha ya raia wake kwasababu ya mafuta tu ambayo angeweza kuyapata tofauti na hapo mfano saudia

Kipi hasara hapo?
 

Tatizo unaruhusu hisia kuchanganua hili swala...inapokuja swala la maslahi ya Nchi lazima kuna wengine watapoteza maisha kulinda ayo maslahi...unafikiri wamarekani wangapi wamekufa ili kuwezesha marekani kuexploit mafuta kutoka middle east. Au unafikiri marekani imeweka roho za wananchi wake kule kwa sababu gani?? Ni maslahi ya nchi

Angalia congo ukifika kule utaona FBI na wanajeshi wengine ambao wapo kule kwa maslahi ya nchi bila kuangalia kama hao watauliwa Uko au lah...inapokuja iShu za maslahi ya Nchi basi lazima kuna watu watatoa sadaka ya maisha yao kwa Taifa lao iwe sababu ya kiuchumi, kisiasa au kijamii.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mafuta Yanayopatikana IRAN Ndio Mafuta Yenyewe Pale Mashariki Yakati

Pia Unahisi US Angejaribu Kuipiga IRAN Wese Lingeuzika

Pia SAUDIA Hawez Kumuuzia Mafuta CHINA The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapozungumzia vita swala la watu kupoteza maisha lazima liwepo kwaiyo fikiria mara mbili kabla hujachukua maamuzi ya kuingia msituni kupambana, sio unaingia vitani kwa msukumo wa hasira tu bila kuangalia impact yake itayotokea hapo mbeleni halafu mwishowe watu wafe uanze kulalamika

Na mpaka saizi iran imeshalibashiri hilo kua haijiwezi kivita na ndio maana unaiona inabaki kupiga domo tu kama mange

Us kuweka majeshi yake nchi nyingine hiyo haimaanishi kwamba nchi hiyo wakizingua US wasi respond kwasababu kuna maslahi, Iran inauza utuli lakini marekani anaakiba ya mafuta mengi kuliko nchi yeyote unayoijua na marekani ndio nchi pekee ambayo imekamilika kila idara kasoro gossip tu ndiyo iran kampiku US

Marekani karibia kila nchi kuna majeshi yake lakini sio kila nchi inamajeshi yake marekani.

Hao FBI walioko kongo wametulia kwasababu hakuna kashi kashi itakayo waathiri wao, ila wakijitusu kuanzisha ugomvi kwa kutegemea marekani haita resoond kwasababu wamewekeza huku aisee watajuta
 
Kwamba maji ya kile kisima ndio masafi hivyo tembo akitaka kunywa atazuliwa na kelele za chura?

Mafuta yawe yenyewe yasiwe yenyewe hilo halimzuii marekani kutoa kiminyo kwa watao muudhi
 

Tatizo ndugu zangu uwa atufuatilii mambo...Marekani inaomba vibali kwenye nchi fulani ya kuweka millitary base yake kwasababu ya kutoa mafunzo na kuwajengea uwezo wa kijeshi nchi husika ikiwa ni kama kuongeza uhusiano wa nchi hizo mbili.

Tatizo lilianza baada ya kuonekana marekani lengo lake ni kutumia kambi hizo za jeshi kupigana vita kwenye nchi nyingine ndipo umoja wa mataifa ukatoa azimio kuwa marekani haitaruhusiwa kutoa mashambulizi kupitia nchi nyingine mpaka ipate kibali kutoka kwenye nchi husika ndo maana Iran inafahamu hii sheria kuwa marekani akitaka kufanya mashambulizi kutokea nchi nyingine lazima ipate kibali kutoka kwnye hiyo nchi otherwise anabidi afanye mashambulizi kutokea marekani jambo ambalo haliwezekani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Japan alijaribu kuonesha kama anataka kutumiwa na marekani kuleta figisu kule North Korea
mara Kiduku akapitisha kombora juu ya ardhi ya Japan
ndipo Japan akawa mkali kwa USA
na kuamuru propaganda zake azifanyie kutokea nchi nyingine ikiwemo south korea ila sio kwake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Noma sana kwaiyo iran anao waiga anataka kuwashinda kiujuzi?
 
Nilikuwa nawasikiliza wa chambuzi leo wa hili swala la Iran
na USA
kuwa Trump alikosea kutoa ile speech baada ya kumuua yule jenerali wa Iran kwani alitoa ahadi za vitisho kwa Iran
endapo Iran itafanya mashambulizi na baada ya kufanya mashumbulizi Dunia nzima ikawa inasubiri kuona utekelezwaji wa maneno yake Trump.

Baada ya Trump kuwa mpole leo imeipa nguvu kubwa Iran
ya kuendelea na harakati zake za kuindoa Marekani middle east na Pia kwa Taifa la North Korea nao imeona kuwa Marekani haitako Vita hvyo atawaendesha.

Na kuhusu swala la vikwazo wamesema kuwa ujerumani, China na Urusi ipo kwenye kutafuta namna bora ya mfumo wa fedha za kibiashara ambao hautaweza kutishwa na vikwazo vya Marekani na hili likifanikiwa wanasema Middle east yote ita adapt huu mfumo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hizo ni ndoto za alinacha.

Hivi USA wakati anamuua huyo Jamaa wa Iran hakuzingatia hayo yote?

Marekani kwa sasa ina kichaa, hivyo kuwepo au kutokuwepo kwa vita ipo kwenye mikono ya Trump na Iran...na kwa kuwa Iran kama North Korea wanaendekeza ushindani, basi Kichaa Trump ni mwenzao asiyejali matokeo zaidi ya kutaka sifa.
 
hiyo kali
 
hua napenda mtu anaetoa copy maana anaingezea na manjonjo yake lazima iwe kitu
 
At least now tunaweza kupata mapumziko maana WW3 has been officially delayed..

Cheers
wazee wa jukwaa hili la kimataifa.

Sent from my Redmi Note 4 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo paragraph ya mwisho ina ujumbe mzito sana ambao umenifanya sasa nielewe kwanini America allies wapo very reluctant kwenye hii conflict.
Sent from my Redmi Note 4 using JamiiForums mobile app
 
Na hapo mmarekani ndio wanazidi kumvuruga maana hawezi pigania vita katika ardhi yake hata siku moja.
Sent from my Redmi Note 4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…