kichwa chako ndio serikali yako, ukiyataka ya walimwengu ni mengi sana, Biblia inasema mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe vise versa is true, kupenda na kupendana kuna hitaji uvumilivumimi ni msichana ninampenzi nampenda ila anitumie msg ,hanipigia anaweza kukaa hata wk hanitafuthi mpaka mimi nimtafute .unawezakuta namtumia msg hajibu nikumuliza mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili anadi nisijali yupo pammoja na mimi ananipenda na mim ndiye mke wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute SIKU TUKAE TUONGEE ILI MWAKANI AKANITAMBULIshe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli au ananidanganya
Changanya na za kwako hapo
listen your heart and make wise desion bcause your decision is life time
Inawezekana anakupenda ila HE MIGHT BE A VERY BORING MAN!!!!!!!
msichana kusoma hujui hata picha huoni?nakuhakikishia hakuna mwanaume anaempenda mwanamke wake asiongee nae kwa simu hata ingalau mara moja kwa siku na kama kuna uwezekanao wa kuonana ni kila wakati anapokuwa free na kazi zake,wanaume naomba mnipinge kama nakosea
Mh!Mbona Kama Inanihusu Vile?
Ila Umeniudhi Kuja JF Kutafuta Ushauri..kwani Hatma Ya Penzi Hili Ni Ya Wawili,Sio JF!
jiwe limetupwa gizani..hahah kimenukaa ee