Rai Pazzy JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 493 Reaction score 187 Oct 12, 2017 #1 Waungwana kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna ubishi huku leo tumebishana sana kuhusu uwezekano wa kubadili processor. Je hili swala linawezekana kwa laptops? Nawasilisha
Waungwana kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna ubishi huku leo tumebishana sana kuhusu uwezekano wa kubadili processor. Je hili swala linawezekana kwa laptops? Nawasilisha
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,174 Oct 12, 2017 #2 mtafute chief_mkwawa ni mjuvi wa hayo mambo.
Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,961 Reaction score 3,695 Oct 12, 2017 #3 Ndio inawezekana na ndiyo maana zinauzwa pia zikiwa pekee kwenye boksi
Rai Pazzy JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 493 Reaction score 187 Oct 12, 2017 Thread starter #4 salaniatz said: Ndio inawezekana na ndiyo maana zinauzwa pia zikiwa pekee kwenye boksi Click to expand... How mkuu
salaniatz said: Ndio inawezekana na ndiyo maana zinauzwa pia zikiwa pekee kwenye boksi Click to expand... How mkuu
Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,961 Reaction score 3,695 Oct 12, 2017 #5 Rai Pazzy said: How mkuu Click to expand... Yan kama zingekuwa hazibadilishiki zisingeuzwa huko ebay amazon
Rai Pazzy said: How mkuu Click to expand... Yan kama zingekuwa hazibadilishiki zisingeuzwa huko ebay amazon
Rai Pazzy JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 493 Reaction score 187 Oct 12, 2017 Thread starter #6 salaniatz said: Yan kama zingekuwa hazibadilishiki zisingeuzwa huko ebay amazon Click to expand... So it means unachange kama unavyobadili ram
salaniatz said: Yan kama zingekuwa hazibadilishiki zisingeuzwa huko ebay amazon Click to expand... So it means unachange kama unavyobadili ram
WARRIOR 90 Member Joined Jan 14, 2012 Posts 68 Reaction score 78 Oct 12, 2017 #8 zipo video nyingi youtube wanaelezea namna yakubadili processor kajifunze,
chuma cha reli JF-Expert Member Joined Jul 2, 2012 Posts 2,764 Reaction score 2,566 Oct 13, 2017 #9 ndio unbabadili fresh tu ,sema lazima spare iwe na spec zile zile
mangintosh New Member Joined Jul 17, 2015 Posts 4 Reaction score 1 Oct 13, 2017 #10 Kuna laptops unaweza badili na kuna zingine zimechomelewa kwenye motherboard so huwezi kubadili.
Mfagio JF-Expert Member Joined May 13, 2014 Posts 700 Reaction score 875 Oct 13, 2017 #11 Uwezekano wakubadil upo ila cha msingi lazima ufuatiliea document za laptop yako kama zina ruhusu kubadil iyo processor kuna uzi ashawai uleta chief mkwawa unamaelezo ya kutosha kabisa
Uwezekano wakubadil upo ila cha msingi lazima ufuatiliea document za laptop yako kama zina ruhusu kubadil iyo processor kuna uzi ashawai uleta chief mkwawa unamaelezo ya kutosha kabisa
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,692 Reaction score 2,576 Oct 13, 2017 #12 Kwenye laptop uwezekano wa kubadili ni mdogo sana. Angalia uwezekano wa kuongeza RAM au kuweka SSD hard drive kama shida yako ni kuongeza performance.
Kwenye laptop uwezekano wa kubadili ni mdogo sana. Angalia uwezekano wa kuongeza RAM au kuweka SSD hard drive kama shida yako ni kuongeza performance.
Mastamind JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,316 Reaction score 840 Oct 13, 2017 #13 salaniatz said: Ndio inawezekana na ndiyo maana zinauzwa pia zikiwa pekee kwenye boksi Click to expand... Unabadilije na Fadhaboard yuko pale
salaniatz said: Ndio inawezekana na ndiyo maana zinauzwa pia zikiwa pekee kwenye boksi Click to expand... Unabadilije na Fadhaboard yuko pale