Je, kuna second selection kwa diploma?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,344
Reaction score
12,472
Wakuu naomba kujuzwa ikiwa kunasecond selection za diploma na je unalazmika kufanya application tena?
 
Bado Wanaendelea Kuomba Kupitia Nacte Sijui OAVIS, mwisha tar 12 oct, kwenye account yako uloambea kama ulikosa awamu ya kwanza wanakudirect sehemu ya kurudia pia wanaonyesha slots zilzobaki
 
Wakuu naomba kujuzwa ikiwa kunasecond selection za diploma na je unalazmika kufanya application tena?
nakushauri kama unataka kozi nzuri nenda private mara nyingi baada ya first selection vyuo vya serikali hubaki na kozi zisizopendwa
 
Wakuu nmepata DIT mwanza compus kozi yenye ni science and laboratory technology , je chuo hiko ni kizur ? na je hiyo course inalipa? Na unafanya kazi gan ukimaliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…