Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Asante mkuu kwa msaada, hii ya firefox nime google kweli naona walikua wana extension hii, itabidi nijaribu.Firefox ya zamani kabla ya hii engine mpya ilikuwa na uwezo huo kwa msaada wa extension, Ila hii version mpya wamezipiga panga extension nyingi Sana ikiwemo hio ya Auto resume.
Kifupi mkuu tunapokwenda mbele ya Safari tunafanywa Kama watoto wanaonyeshwa uji, features mbalimbali zinazotumiwa na Watu zinatolewa kadri wanavyoamua wenyewe na wanatuamulia vipi vya kutumia na vipi usitumie.
Kwenye idm Kuna feature ya queue, sio exactly Auto resume Ila inafanania, unaweza uka add downloads 10 ama 20 kwenye queue na idm ita attempt kudownload kadhaa, yakiisha unadownload mengine, in case moja inafeli itaanza nyengine kwa mtindo huo mpaka imalize download zote.
Sema kutengeneza queue kinahitaji uwe na direct links zisizo expire, njia hii Ni nzuri Kama unatumia directories kudownload.
Asante mkuu kwa msaada, hii ya firefox nime google kweli naona walikua wana extension hii, itabidi nijaribu.
Kwa Idm hio queue iko poa ila mimi huwa nadownload single zip files za tutorials, size huwa ni 5 gb+
Kuna mbadala wa hio mozilla ya zamani huu hapa labda pengine nikibahatika utanitatulia tatizo
Kama Ni file kubwa Sana itabidi pia utumie extension ya kudownload Kama downthemAll ambayo Ina multi thread support kuongeza speed.Asante mkuu kwa msaada, hii ya firefox nime google kweli naona walikua wana extension hii, itabidi nijaribu.
Kwa Idm hio queue iko poa ila mimi huwa nadownload single zip files za tutorials, size huwa ni 5 gb+
Kuna mbadala wa hio mozilla ya zamani huu hapa labda pengine nikibahatika utanitatulia tatizo
Down them all iko poa chief, i wish idm wangekua na hiiKama Ni file kubwa Sana itabidi pia utumie extension ya kudownload Kama downthemAll ambayo Ina multi thread support kuongeza speed.
Na hizo zip files unaweza kuzi queue pia, njia rahisi Ni ku activate drop Target, kialama Fulani Cha jumlisha kitatokea kwenye screen, Kila download yako una drag na kudrop kwenye jumlisha, ukimaliza zote unazipa jina la queue na kuanza kudownload.
Nakumbuka kipindi natumia GetGo download manager ilikiwa na option ya retry forever. Kitu kingine unachotakiwa kufanya kama unadownload file kutoka sharing sites kama mediafire, 4shared nk. Ni vyema kuweka login details zako kwenye hiyo download manager pale network inapokuwa imefeli ili iweze kukumbukwa tena pale inaporeconnect kwenye zile server inazopakua file, la sivyo itapakua upupu.Just kama chief alivyo sema try IDM ina pause internet ikikataa na resume iki kubali, ila actually hai pause ila ina retry
Pale idm kuna numbers of retry ipi ina retry kila mda download error ikitokea na pia kuavoid file corruption
Anataka Auto resume, yaani akilala file likifeli baada ya sekunde kadhaa linajiresume lenyewe, maana ukiamka asubuhi tayari kifurushi Cha usiku kimeisha.Tumia idm
File likileta error nenda kwenye site uliodownloadia file then copy new download link then fungua idm properties file unalolidownload then paste new link. Bila shaka download yako itaendelea bcoz sone sites watatoa link per IP
Kama anatumia dial up connection aseti username na passcode kwenye idm ili iki disco tuu itafanya auto connectAnataka Auto resume, yaani akilala file likifeli baada ya sekunde kadhaa linajiresume lenyewe, maana ukiamka asubuhi tayari kifurushi Cha usiku kimeisha.
Nataka software ambayo ina weza kuresume kudownload mafaili baada ya internet kukata na kurudi.