JE? Kulala au kusinziaa mchanaa midaa ya kazii? Nini? Tatizoo??

Justin Dimee

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,146
1,225
Ni mchana unapo fikaa watu tunakuaa maofisini au kazini inatokea mtu pale pale unasikia usingizi wakichovu chovu let say umekaa umepumzikaa kazi umemalizaa unasubiri maelezo mengine pale unakutwaa naka ujisingizii chaa ajabu ajabu
Madarasani
Makanisani
Mikutanoni mbali mbalii unakutaa midaa flanii watu wanaa lazaa mpakaa wana itwaa vilazaa jamaani palee tu mindo na ombaa nishaurini nakama kunatiba yakee mmnielekezeni coz sio wote wana kuaa wanaa lala ni baadhi tu na je? niugonjwaa ama nini??
 

Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
inawezakuwa ni ugonjwa kama inakutokea daily, cha msingi hapo ni upunguze vinywaji vyenye kaffeina kama vile soda, chai ya rangi, kahawa, nk vingine unaweza ku-google vyenye kaffeina. Ongeza pia unywaji maji walau mpaka glasi 8 kwa siku.
 

Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
Mbonaa ukinywaa kahawaa wanasemaa inapunguzaa kulala?

mwanzoni unapoianza ndiyo inapunguza kulala kwa kukufanya active zaidi kama vile ilivyo bangi, kadri siku zinavyosogea basi ndiyo madhara huanza kutokea. Hata konyagi husaidia kuongeza nguvu za kiume mwanzoni lakini kadri siku zinavyozidi kuongezeka hukufanya kinyume chake. Natumaini umenipata sasa ila kama bado uliza tena uone.
 

Justin Dimee

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,146
1,225
Nimeekupataa mkuu wangu so inaa maanaa kuaa huo ni ugwonjwaa basi na dawaa yakee piaa ipo au
 

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,172
2,000
inawezakuwa ni ugonjwa kama inakutokea daily, cha msingi hapo ni upunguze vinywaji vyenye kaffeina kama vile soda, chai ya rangi, kahawa, nk vingine unaweza ku-google vyenye kaffeina. Ongeza pia unywaji maji walau mpaka glasi 8 kwa siku.
Asante Mkuu kwa ushairi mzuri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom