Shida ilipo ni kwamba elimu yetu inabana kipaji. Ili ufaulu lazima ukaze sana na shule, huu muda kubalance na vitabu makubwa kama BS, abbott, lambert hutoboi.....wengi tuliishia kushika vtabu na vipaji vikaenda zakee....angalau sahivi mambo yapo tofauti kidogo hata vipaji vinaonekana kirahisi na inabaki kwa muhusika mwnyw kuchagua asuke au anyoee