Wakuu msaada wenu tafadhali.
Simu yangu (Samsung A50) ilivunjika kioo cha nje camera ya nyuma, nkaenda kwa fundi akaniwekea kingine ila ule uangavu wa picha haukuwepo tena, leo nmeamua kuking'oa mwenyewe ila pia hakuna nlichosaidia, ndo nkapata mawazo ya kufanya replacement ya system nzima ya camera, je inawezekana?
Naomba kuwasilisha!