Sasa mbona wewe unamuwekea mumeo wakati ana mikono? Swali langu bado hujalijibu, kuna ubaya gani wa housegirl kumuwekea baba maji ya kuoga bafuni? Huko bafuni kwani kuna tatizo gani?wewe umekatika mikono? jamani hata kuweka maji bafuni inakuwa tabu! huyo mama kafanya vizuri kuwa transfer hao mana baba analalamikia mbinu zake kuzimwa...hakuna lolote.
Hawekewi mtu maji bafuni na housegirl.PERIOD!Sasa mbona wewe unamuwekea mumeo wakati ana mikono? Swali langu bado hujalijibu, kuna ubaya gani wa housegirl kumuwekea baba maji ya kuoga bafuni? Huko bafuni kwani kuna tatizo gani?
Sasa mbona wewe unamuwekea mumeo wakati ana mikono? Swali langu bado hujalijibu, kuna ubaya gani wa housegirl kumuwekea baba maji ya kuoga bafuni? Huko bafuni kwani kuna tatizo gani?
HG ni mtu baki tofauti na mimi kumuwekea baba yangu halafu mbona umekazania sana mmh! nampa pole mkeo nadhani anaibiwa na HgHapo ndipo tunashindwa kuelewana. Kama wewe unaweza kumuwekea baba yako maji bafuni wakati mama hayupo. Kuna ubaya gani housegirl akifanya hivyo? Au ulivyomuwekea baba yako maji bafuni ulipata ujauzito?
Namimi ninalipa mshahara!!!
Sasa mbona wewe unamuwekea mumeo wakati ana mikono? Swali langu bado hujalijibu, kuna ubaya gani wa housegirl kumuwekea baba maji ya kuoga bafuni? Huko bafuni kwani kuna tatizo gani?
Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako!
Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo ni hybrd!
:behindsofa:
Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako!
Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo ni hybrd..............Lakini cha ajabu mke eti hataki nimtume kunichemshia maji wala kumtuma kazi zinazofanana na hizo ukizingatia mimi narudi usiku kutizama worldcup!hataki yeye afungue mlango na baya zaidi yeye nimtumishi akienda kazi za usiku basi lazima huyo wife hatafanya mipango mapema kuwapeleka watoto kwa mama mkwe au kwetu kwakisingizio bibiyao kawaita nahousegirl naye anaondoka!!!!Hivyo nakuwa napata tabu sina wakumtuma Hapo inanibidi nipakuwe mwenyewe vitu kama hivyo!!!Namimi ninalipa mshahara!!!
:behindsofa:
Hapo ndipo tunashindwa kuelewana. Kama wewe unaweza kumuwekea baba yako maji bafuni wakati mama hayupo. Kuna ubaya gani housegirl akifanya hivyo? Au ulivyomuwekea baba yako maji bafuni ulipata ujauzito?