Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako!
Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo ni hybrd..............Lakini cha ajabu mke eti hataki nimtume kunichemshia maji wala kumtuma kazi zinazofanana na hizo ukizingatia mimi narudi usiku kutizama worldcup!hataki yeye afungue mlango na baya zaidi yeye nimtumishi akienda kazi za usiku basi lazima huyo wife hatafanya mipango mapema kuwapeleka watoto kwa mama mkwe au kwetu kwakisingizio bibiyao kawaita nahousegirl naye anaondoka!!!!Hivyo nakuwa napata tabu sina wakumtuma Hapo inanibidi nipakuwe mwenyewe vitu kama hivyo!!!Namimi ninalipa mshahara!!!
:behindsofa:
Kama unajua kusoma katikati ya mistari, swali hapa ni KWANINI MAMA ANAMKATAZA?cjui ni uvivu wa kusoma lakini sijakuelewa sana! shida ni nini? kama mama anakataa usimtumie housegirl inabidi zile kazi ambazo ungependa kufanyiwa na hg afanye mama. na inaelekea jinsi ulivyomsifia huyo hgirl, lazima mama awe na wsiwasi nawewe
Kama unajua kusoma katikati ya mistari, swali hapa ni KWANINI MAMA ANAMKATAZA?
Kama unajua kusoma katikati ya mistari, swali hapa ni KWANINI MAMA ANAMKATAZA?
Ataifanyaje wakati yuko kazini?mama anaona hiyo kazi anastahili kuifanya yeye na sio hg...
Ahaa kwahiyo angekuwa mnyakyusa/mhaya/msukuma ingekuwa poa...Infidelity ruksa!!angetoa maelezo yote ingekua rahisi kujua, kwa jinsi alivyomchambua huyo dada yani ni halfcast vile wa kiiraqy lazima mama asimruhusu yaweza kuleta infidelity hapo.
Kama unajua kusoma katikati ya mistari, swali hapa ni KWANINI MAMA ANAMKATAZA?
Ataifanyaje wakati yuko kazini?
Ahaa kwahiyo angekuwa mnyakyusa/mhaya/msukuma ingekuwa poa...Infidelity ruksa!!
Hivi akiniwekea maji bafuni kuna ubaya gani?alafu aspirin kuna kazi anastahili kufanya hgirl, eti kumwekea mr maji bafuni no kama bafu nile za uswahilini sawa nikiwa sipo ayaweke lakini kwa hapa kwangu hali hairuhusu kupeleka maji bafuni na kupakua chakuala kikiandaliwa kinawekwa mezani baba tasave mwenyewe na nikiwepo ni mm nitamsaidia maana najua anapenda hivyo.
Unaweza kuwa unafanya kazi za shifti. Sasa umeingia night nami nataka kuoga. Housegirl akiniwekea maji bafuni ishakuwa nongwa?hivi unawajua wakoje? yani ni kama alitaka kusema msichana anausoft wa asilia nywele ndefu zisizohitaji dawa, yani hapa katuzuga tu. sasa lakini we aspirin we kwann uanze kumsifia hgirl si nae ataanza kukuchekea na mwisho we nn? na how come niko kazini baba hom?
hIZO NI KAZI ZA MKEO JAMANI MIMI NA UKUBWA WANGU CJAWAHI KUMUWEKEA BABA MAJI ANAWEKA MAMA NA KILA KITU CHA BABA ANAFANYA MAMA KAMA HAYUPO KWA MAANA YA KUSAFIRI NDO TUNAFANYA SIE ILA HOUSGAL HAUSIKI SEMA aSPRIN UNAPENDA SANA KUDUMISHA MILA NDO MANA UNATETEAHivi akiniwekea maji bafuni kuna ubaya gani?
Unaweza kuwa unafanya kazi za shifti. Sasa umeingia night nami nataka kuoga. Housegirl akiniwekea maji bafuni ishakuwa nongwa?
Hivi akiniwekea maji bafuni kuna ubaya gani?
Unaweza kuwa unafanya kazi za shifti. Sasa umeingia night nami nataka kuoga. Housegirl akiniwekea maji bafuni ishakuwa nongwa?
alafu aspirin kuna kazi anastahili kufanya hgirl, eti kumwekea mr maji bafuni no kama bafu nile za uswahilini sawa nikiwa sipo ayaweke lakini kwa hapa kwangu hali hairuhusu kupeleka maji bafuni na kupakua chakuala kikiandaliwa kinawekwa mezani baba tasave mwenyewe na nikiwepo ni mm nitamsaidia maana najua anapenda hivyo.
Hapo ndipo tunashindwa kuelewana. Kama wewe unaweza kumuwekea baba yako maji bafuni wakati mama hayupo. Kuna ubaya gani housegirl akifanya hivyo? Au ulivyomuwekea baba yako maji bafuni ulipata ujauzito?hIZO NI KAZI ZA MKEO JAMANI MIMI NA UKUBWA WANGU CJAWAHI KUMUWEKEA BABA MAJI ANAWEKA MAMA NA KILA KITU CHA BABA ANAFANYA MAMA KAMA HAYUPO KWA MAANA YA KUSAFIRI NDO TUNAFANYA SIE ILA HOUSGAL HAUSIKI SEMA aSPRIN UNAPENDA SANA KUDUMISHA MILA NDO MANA UNATETEA