Aisee, huo mgongo ni wako??? Hongera una mgongo mzuri!Wakuu kwema, naishi nyumban ya kupanga mm na familia yangu, miezi 6 nyuma tumeupokea wageni wa4 wapya hapa tunapo ishi. Baada ya ugeni huo nikaanza kusikia jirani analalamika kuwepo Kwa matukio ya kishirikina mala mtu kusikika anatembea juu ya bati, mwingine akadai alikuta kachanjwa chale.
Juzi wakati nimelala saa 7:40 usiku nikasikia kitu kinatenbea juu ya batikishindo nicha wastani, Kwakua palikua tulivu nikawaza pengine ni ndege au paka wanatembea huko maana hapa pia Kuna paka hua inavizia na kuingia ndani ya Fens kula mabako ya vyakula.
Leo nilikua nahisi jasho wakati najifuta futa jasho nikapifisha mkono mgogoni chini ya bega la kulia nikatoka na ngozi nikawaza Nini hiki ni ki barango au vip baadae nikanikagua nikakutana na mkwaruzo hii ambayo sijui nilipata pataje.
Em wajuzi nambieni kama hiki kinaweza kua ni chale au ni kipi na kipi nifanye maana nina siku siendi kanisani Wala sijawahi kwenda Kwa mganga ila nina weza kwenda kama itani bidi.
Wakuu kwema, naishi nyumban ya kupanga mm na familia yangu, miezi 6 nyuma tumeupokea wageni wa4 wapya hapa tunapo ishi. Baada ya ugeni huo nikaanza kusikia jirani analalamika kuwepo Kwa matukio ya kishirikina mala mtu kusikika anatembea juu ya bati, mwingine akadai alikuta kachanjwa chale.
Juzi wakati nimelala saa 7:40 usiku nikasikia kitu kinatenbea juu ya batikishindo nicha wastani, Kwakua palikua tulivu nikawaza pengine ni ndege au paka wanatembea huko maana hapa pia Kuna paka hua inavizia na kuingia ndani ya Fens kula mabako ya vyakula.
Leo nilikua nahisi jasho wakati najifuta futa jasho nikapifisha mkono mgogoni chini ya bega la kulia nikatoka na ngozi nikawaza Nini hiki ni ki barango au vip baadae nikanikagua nikakutana na mkwaruzo hii ambayo sijui nilipata pataje.
Em wajuzi nambieni kama hiki kinaweza kua ni chale au ni kipi na kipi nifanye maana nina siku siendi kanisani Wala sijawahi kwenda Kwa mganga ila nina weza kwenda kama itani bidi.
Una Ngozi nzuri saana bibieWakuu kwema, naishi nyumban ya kupanga mm na familia yangu, miezi 6 nyuma tumeupokea wageni wa4 wapya hapa tunapo ishi. Baada ya ugeni huo nikaanza kusikia jirani analalamika kuwepo Kwa matukio ya kishirikina mala mtu kusikika anatembea juu ya bati, mwingine akadai alikuta kachanjwa chale.
Juzi wakati nimelala saa 7:40 usiku nikasikia kitu kinatenbea juu ya batikishindo nicha wastani, Kwakua palikua tulivu nikawaza pengine ni ndege au paka wanatembea huko maana hapa pia Kuna paka hua inavizia na kuingia ndani ya Fens kula mabako ya vyakula.
Leo nilikua nahisi jasho wakati najifuta futa jasho nikapifisha mkono mgogoni chini ya bega la kulia nikatoka na ngozi nikawaza Nini hiki ni ki barango au vip baadae nikanikagua nikakutana na mkwaruzo hii ambayo sijui nilipata pataje.
Em wajuzi nambieni kama hiki kinaweza kua ni chale au ni kipi na kipi nifanye maana nina siku siendi kanisani Wala sijawahi kwenda Kwa mganga ila nina weza kwenda kama itani bidi.
Oya mie mwanaumeUna Ngozi nzuri saana bibie
Hakuna chale za namna hiyo.
Popobawa huyo alikupitia mk
Pamoja kaka nitajitahidi... Nawaza hawa wageni walio Kuja huwenda Kati yako yupo mwenye michezo hiyoHizo sio chale Mkuu, chale huwa zinachanjwa kwa idadi na kwa utaratibu maalumu kwa kugusa maeneo yote kuanzia kichwani hadi kwenye vidole.
Hiyo ni mikwaluzo ya kucha ama kitu chenye ncha Kali
Kama ulilala na ukajikuta hivyo asubuhi, inaonesha wale ndugu zetu wa usiku walifanikiwa kukutembelea na kukufanyia hayo
Jitahidi ukiwa unalala, uwe una swali/sali ili kuarika ulinzi wa Mungu
Daah basi Kausha mwanangu don't take it personal.Oya mie mwanaume.
Alikumemena.Kwamba alini ng'ata au walinikwaruza na kucha.?
Mchawi hawezi Kuja kukupiga chale usiku ila anaweza kuja kuchukuwa nywele zako kidogo akasepa kufanya DNA yake.Pamoja kaka maana lawama ni nyingi hapa home nikahisi pengine wageni wamekuja na michezo yao.