Je, hili ni agizo la RC wa Kagera au?

Mmmm jamani huu sasa uonevu ilimradi kila mtu apate Kiki
 
Hadi Mazoezi tunalazimishana? Kweli mmedhamiria kuondoa haiba yetu na bashasha
 
Kwaiyo anapingana na agizo la usafi et ohooo kitaota nyasi we endelea
 
Mh. Rais aliapa kulinda Raia na Mali zao na kulazimisha Mazoezi ni sehem ya kulinda Raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…