Je hii sio kweli wadau?

Sawa kabisa; bila kabobo / uongo na ukweli madem hawakubali hasa kwenye age ya 20 - 28; baada ya hapo uongo hauna nafasi kabisa.
 
The world is turning around Yesterday becomes tomorrow when lies are said to be the truth and truth is said to be lie.
 
Kweli upo thawa kabitha... girls wanamapenz ya kweli... shida ni nyie midume..... miongo kweli
 
Sawa kabisa; bila kabobo / uongo na ukweli madem hawakubali hasa kwenye age ya 20 - 28; baada ya hapo uongo hauna nafasi kabisa.

I LIKE. Maana sioni like kwenye page yangu hapa, sasa sijui ni nini?. So I like your comment, it is true.
 
Sio kweli, the vice versa is true...many girls fall in love with the right guys but they(girls) negligently turns them into being wrong ones!
 
The world is turning around Yesterday becomes tomorrow when lies are said to be the truth and truth is said to be lie.

Uongo umekuwa S.I unit kwenye mapenzi siku hizi.
 
Kuna kitu huwa kinaniambia moyoni ukidanganya lazima ushikwe ... hii ikoje kwani? pamoja na maujanja yangu huwa naona ntashikwa just there... na nnapendaje eye contact !!!! sijui kama ntaweza kukuangalia machoni kama nimeweza kukudanganya... ni lazima unidake tu.... any way kila kitu kina wataalamu wake baana. katika hili nimeshindwa. lakini ata ivyo haina faida zaidi ni kujishushia hadhi tu na kukosa kuaminika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…