Je hii ni sahihi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,732
Kuna watu humu wanakuwa wanaleta mada za kuomba ushauri...wakishafanikiwa huwa hawaleti mrejesho.Je hii ni sahihi?
 
Unakuta mwingine alikuwa na mzozo na mwenzake,akaja huku akilia lia kuomba ushauri;mwisho wa siku hatujui waliendelea pamoja au kutengana.....wakiwa wanaleta mrejesho itatusaidia sisi wachangiaji kujua tunashauri pumba au pointi.
 
Kuna watu humu wanakuwa wanaleta mada za kuomba ushauri...wakishafanikiwa huwa hawaleti mrejesho.Je hii ni sahihi?
Kuomba ushauri sio jambo baya, ama naweza nikafananisha na kikohozi kinapo kubana zaidi.
Lakini kuleta mrejesho ni utashi ama choice kwa yule alie omba kushauriwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…