je hii ni kweli?


kama mkeo ni mzuri na huwezi kumlinganisha na yeyote huko nje sasa unafata nini huko nje? Kutoka nje ya ndoa si jambo la kawaida hata kidogo hata ujustify vipi, dhambi ni dhambi tu na itabaki kuwa hivyo
 
Last edited by a moderator:
Nina imani kuwa sitovuna chochote kwani si mimi niliyepandikiza utokaji nje ya ndoa kwa wanadamu. Tumeyakuta na tutawaachia watoto wetu waendeleze libeneke.

mh..tutafika kweli kwa mtindo huu tz bila ukimwi haiwezekan..
 

toa uthibitisho na kauli yako ya mwisho
 
Last edited by a moderator:
dah! bro una hatari! ako kakaulikako kamapadre na walokole kakali!! unakandugu kako kapadre au kalokole kalishawahi kuvunja na kuharibu kale ka amri ya sita ya mungu? inamana hao ndg zako hawajui biblia imesema ole wao wafilao na wafilwao! na ndg zako wana hatari pia!!
 
Mbona kaka ubeti wa mziki fulani Hivi, Hebu jipange vyema...
 
kama mkeo ni mzuri na huwezi kumlinganisha na yeyote huko nje sasa unafata nini huko nje? Kutoka nje ya ndoa si jambo la kawaida hata kidogo hata ujustify vipi, dhambi ni dhambi tu na itabaki kuwa hivyo


Ngoja nikuulize, wewe unaweza kula chakula cha aina moja kila siku? Hata kama wewe ni mpenzi wa kula nyama au pilau lazima tu ipo siku utataka kula mchicha. Ni kweli kutoka nje ya ndoa si vizuri na ni dhambi kwa baadhi ya watu/madhehebu lakini hiki kitu ni jambo la kawaida sana. Chunguzeni mtaona.
 
mh..tutafika kweli kwa mtindo huu tz bila ukimwi haiwezekan..


Suala siyo Tanzania tu bali duniani kote hali ni hivi hivi. Sema tu hapa Afrika hii imekuwa kawaida mno. Sidhani kama kuna mwanamme asiye na nyumba ndogo hapa Dar na kama wapo ni wachache sana. Mfano ulio hai, waangalieni waheshimiwa wetu wabunge kule Dodoma au wenye pesa hapa Dar. Utakuta kila mtu anakajumba pembeni, anatoka nyumbani asubuhi kwenda kazini anarudi saa tano usiku kila siku na weekend haonekani. Jamani msibishe tu, chunguzeni mtaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…