Kutokuwa na hisia na mwanamke, kumuhitaji kwa ajili ya sex tu?.
Hii kitu naiona kwa mtu wangu wa karibu , sasa Ana miaka karibu 40 lakini hajawahi kuwa na serious relationship.Yeye akiwa na mwanamke ni sex basi hamna swala lingine lolote, yeye binafsi anakwambia ndo mwanaume unavyotakiwa uishi. Wajuz wa haya mambo naomba maoni yenu