Habar wakuu? Samahan wakuu mlango wangu wa DVD room hausom CD na nina lengo la kubadilisha WINDOW. Kuna jamaa ameniambia Nichomoe HARD DISC yng aweke kwny LaPTOp yake ili apige WINDOW chin then anirudishie HARD DISC yng ikiwa na NEW window. JE kwa mtindo huu siwez nikaharibu LAPtOP yng?
Msaada tafadhal..
inategemea na upya wa computer yako si kila computer inaweza kuboot kwenye flash.Hii mkuu, huwa mara nyingi hukubari kwa PC aina moja tena mara nyingi model moja. Kama vipi tumia flash ku boot ndio njia ya uhakika zaidi.
Haitoleta iharibifu wowote mkuu?
inategemea na upya wa computer yako si kila computer inaweza kuboot kwenye flash.
Mkuu, ku boot kwa kutumia flash kunahitaji uwe na active usb port tu wala haijalishi kama PC ni mpya au kongwe.
Nashkuru wana JF woteeeeeeee nimefanikiwa kwa sasa MACHINE inapiga mzigo safiiiiiiiiiiiiiiiii.
Najua unabadirisa boot order kwenye bios, lakni kuna zile za kitambo hazina hiyo option kwenye bios. Labda kama kuna njia nyingine tujurishane.Mkuu, ku boot kwa kutumia flash kunahitaji uwe na active usb port tu wala haijalishi kama PC ni mpya au kongwe.